Dr. Magufuli Regime against Kakobe perception

Mkuu naomba kuuliza 'sasa na wazazi wetu wa kiume tunakosea kuwaita baba'
Huyo yohana mbatizaji fake anachanganya siasa na dini. Ameipenda siasa kuliko Mungu wake.
 
Hahahaa...!!!!... Kasome sheria ya vyama vya siasa uone kama chama dume kinaweza kufutiwa usajili halafu eti " makanisa" yote wewe inaelekea umelewa mbege!
Kumbe unaangalia chama kinachoongoza[emoji23]
Basi akili yako inakutosha wew mwenyewe.
 
Watu wengine mnashangaza sana.
Unairejelea biblia kukataa kumwita Kakobe baba...wakati huo huo kuna mtu aliyekuzaa unamwita baba, na wala hujiulizi bibliw inasema nin kuhusu hilo...
Ila kwa kakobe ndio nongwa[emoji23]
 
Umeshapanic! Ujiulizi kwanini TRA wanajiendea tu pale kukagua au kwanini Chikawe alitishia kuxifutilia mbali hizi huduma?....ni kwa sababu zimesajiliwa kwa penseli!
Hoviyooooo[emoji196] [emoji83] [emoji61] [emoji90] [emoji379]
 
Watu wengine mnashangaza sana.
Unairejelea biblia kukataa kumwita Kakobe baba...wakati huo huo kuna mtu aliyekuzaa unamwita baba, na wala hujiulizi bibliw inasema nin kuhusu hilo...
Ila kwa kakobe ndio nongwa[emoji23]
Mkuu toa ushaidi hoja upingwa na hoja,kumbuka asira ukaa vifuani mwa wapumbavu.
 
Askofu Kakobe ni mjumbe wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT)
Na wajumbe wa jumuiya hii ni viongozi wakuu wa makanisa ya kipentekoste ambao wengine wanaitwa ASKOFU fulani (mfano askofu Fernandez wa Agape)

Ndio maana nilisema hata iweje, kakobe ataendelea kuitwa Askofu, na kwa heshima ya kiongozi wa dini mweny wadhifa wa askofu, waumini wake humwita Baba Askofu.
Tunaona hata wachungaji wa matawi ya hayo makanisa wanaitwa na waumini wao Baba Mchungaji
 
Mkuu toa ushaidi hoja upingwa na hoja,kumbuka asira ukaa vifuani mwa wapumbavu.
Ni mpumbavu pekee anayeweza kukasirika kwenye mjadala.
Mim nili-tag comment yako juu ya kupinga kumwita mtu BABA hapa duniani, kwa kigezo kuwa biblia inakataa. Uko sawa kwa hilo.

Lakini nimeshangazwa pia coz kila siku kuna mtu unamwita baba, na popote uulizwapo juu ya baba yako, nina hakika huwa humtaji MUNGU, badala yake unamtaja huyo aliyekuzaa.
Sasa, kam wew unamwita mtu huyo baba, na si mungu wako...iweje ukataze kwa Kakobe???
 
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven.
 
Hao waliokaririshwa bikira Maria kapaishwa mbinguni?
 
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven.
Unajua hakuna mtoto anayezaliwa paspo ushirika wa Mungu kwaiyo Baba yako mzazi ana ushirika na Mungu kwahiyo baba mzazi anamwakilisha Baba wa mbinguni.Ndomaana Mungu asipotaka uitwe baba anakunyima mtoto.Nadhani tumeelewana mkuu.
 
Watu wengine mnashangaza sana.
Unairejelea biblia kukataa kumwita Kakobe baba...wakati huo huo kuna mtu aliyekuzaa unamwita baba, na wala hujiulizi bibliw inasema nin kuhusu hilo...
Ila kwa kakobe ndio nongwa[emoji23]
Na kuna mwingine haitwi tu baba, bali baba mtakatifu na husikii akisemwa
 
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Nini tafsiri ya neno Askofu? Ukishajua njoo uendelee kubishana!
 
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Una matatizo kutosoma biblia na kulishwa maneno na warumi una hasara ya ujinga wa mambo ya rohoni
 
Joseph, Yusuph, Yusuf, Yozef ni jina moja ni lugha tu na namna ya kuandika ndo tofauti. Usikariri kijana, elewa.
 
Hapo sawa! Mimi sikuwa na shida na uaskofi wa Bishop Zacharia Kakobe namjua kama askofu na namuheshimu sana kama askofu. Nilitaka tu uweke hapo sawa na umeiweka vilivyo
 
Hujajibu swali?.... Kakobe Zakaria aka mzee wa Edition Mulanga studio ana Kanisa?
 
Joseph, Yusuph, Yusuf, Yozef ni jina moja ni lugha tu na namna ya kuandika ndo tofauti. Usikariri kijana, elewa.
Biblia ni neno la kiswahili.
Biblia unayoitumia ni ya kiswahili pia...
Sasa, funua mwanzo, usome majina ya walioumbwa na Mungu. Ukikuta jina Eva, basi njoo PM, nipe namba yako, then takutumia 50000 ya usumbufu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…