social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,261
Kakobe siyo " Baba Askofu", sahihisha kwanza ndipo tujadili hilo neno ulilohubiriwa leo!Leo nimejumuika na Waumini wenzangu katika Dominica ya 3 mwaka B parokia ya Chuo kikuu Dodoma kigango cha mtakatifu John Fisher School of social Science,Neno kuu lilikua "TUBUNI NA KUIAMINI INJILI"
Nikakumbuka saga la namba moja wetu pale juu na Baba Askofu Kakobe pale ambapo watawala wanakosolewa na kudai Viongozi wa Dini wanaingilia mambo ya Siasa.
Kwa kweli mkatubu tu Mungu anampenda anaejishusha.
Nawasilisha.
Wakati wewe unaumia kuona Kaboke anaitwa Baba Askofu Kakobe,,,,maelfu wa watu wanaona ni sahihi.Kakobe siyo " Baba Askofu", sahihisha kwanza ndipo tujadili hilo neno ulilohubiriwa leo!
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.Wakati wewe unaumia kuona Kaboke anaitwa Baba Askofu Kakobe,,,,maelfu wa watu wanaona ni sahihi.
Hisia za kiimani na za kisiasa haziwezi kuufuta uaskofu wa Zacharia Kakobe.
Waumini wa FG churches na wakristo wengine wengi tanzania na nje ya tanzania wanaamini na wanajua kuwa Zacharia ana daraja la UASKOFU.
Punguza dharau, punguza hisia, heshimu japo kidogo tu...maana hata ukikataa kuwa kakobe sio askofu, bado ataendelea kuitwa Baba Askofu, na kikubwa zaidi, ataendelea kuwa mjumbe wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Wakatoliki wamewafanya watu wakremu vitu vya kipuuzi kabisa, hivi kwenye biblia kuna daraja la ndoa?Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Hapa tunazungumzia daraja la " Askofu"....... hilo la ndoa kaisome vizuri Biblia halafu anzisha mjadala , utajibiwa!Wakatoliki wamewafanya watu wakremu vitu vya kipuuzi kabisa, hivi kwenye biblia kuna daraja la ndoa?
Ndoa ni sakramenti.Wakatoliki wamewafanya watu wakremu vitu vya kipuuzi kabisa, hivi kwenye biblia kuna daraja la ndoa?
Imeandikwa wapi?Ndoa ni sakramenti.
Kitabu cha mwanzo. Pale Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Adam ni mpweke akamuumbia msaidizi Eva.Imeandikwa wapi?
Ni kweli sio baba askofu ila ni ASKOFU MKUU ZAKARIA KAKOBEKakobe siyo " Baba Askofu", sahihisha kwanza ndipo tujadili hilo neno ulilohubiriwa leo!
Askofu mkuu wa kitu gani?Ni kweli sio baba askofu ila ni ASKOFU MKUU ZAKARIA KAKOBE
Ingia maktaba, soma wajumbe wa baraza la maaskofu tz, utakuta jina na Kakobe.Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Maana ya neno "Askofu" ni mwangalizi Kakobe ana makanisa zaidi ya 400 nchi nzima kwa hiyo ana haki ya kuwa AskofuHilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Nani amekuambia hiyo huduma ( ngo) ya Zskaria ni dhehebu?!!....dogo jiongeze!Ingia maktaba, soma wajumbe wa baraza la maaskofu tz, utakuta jina na Kakobe.
Lakini lazima ujue kuwa FG n dhehebu, kama ilivyo KKKT, RC, SCOAN, MLIMA WA MOTO n.k. Na kila dhehebu lina utaratibu wake wa namna ya kuwapata viongozi na kuwapa madaraja.
Kwa makanisa ya kipentekoste, mkuu wa kanisa anakuwa na wadhifa wa Askofu.
Angalia makanisa yote ya kipentekoste (sio protestant) utajua hilo.
Kwa mifano michache tu, Fernandez (Agape), Pengo (RC), Gwajima (Ufufuo na Uzima)...n.k n.k...na hao wote wana wadhifa wa Askofu.
Kwanza nikusahihishe kidogo FGBF siyo Kanisa na kwa maana hiyo haliwezi kuwa na Askofu!Jipambanue ili ueleweke...
Tatizo lako ni yeye kuitwa "Baba Askofu" ama "Askofu?"
Na kwa upande na ufahamu wako, kwani unaelewa nini maana ya neno "Askofu?" kwa mujibu wa biblia ya kikristo?
Aaaha, nimeielewa kidogo akili yako, kwamba, unadhani Maskofu na mchakato wa kupatikana kwao wako huko tu wewe uliko....kwenye makanisa yenye asili ya ulaya i. e Catholic, Lutheran, Moravian, Anglican nk....
Ila kwa makanisa yenye asili ya humuhumu Tanzania kama FGBF chini ya Bishop Kakobe ama Ufufuo na Uzima chini Bishop Dr Josephat Gwajima ama International Evangelism Church chini ya Bishop Dr Eliud Issangya nk hawastahili kuwa na "Askofu!!!"
Kama ndivyo, mzee utakuwa umekaririshwa vibaya na kikasuku tu na umepokea mapokeo tu bila wewe pia kutumia akili yako kujitafakarisha na kujisomea mwenyewe kuelewa mambo....
Pole sana, "Yohana Mbatizaji a. k. a Johnthebaptist!!
Kwanza nikusahihishe kidogo FGBF siyo Kanisa na kwa maana hiyo haliwezi kuwa na Askofu!