Dr. Magufuli kwanini anakwepa hizi sherehe za dini?

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
wanabodi naomba ufafanuzi kama mtapenda tuu kunipa kwa wenye mawazo mema

kanisa la AIC walimsimika askofu wao mwezi wakumi na mbili pale Dar mh raisi alimtuma waziri mkuu kumwakilisha

jumapili iliyopita tena alikuwa amealikwa na KKKT kwenye Sherehe kama hiyo ya kumsimika Askofu wao mkuu Dr.Frederick Shoo Mh raisi hakutokea tena akamtuma Mh waziri mkuu kumwakilisha

Leo tena kanisa la EAGT aliakuwa amealikwa hapo Dodoma pia hakutokea tena amemtuma tena waziri mkuu kumwakilisha

hii inatufundisha nini ??
 
Back
Top Bottom