Dr. Magufuli bila kung'oa hii mizizi utapata shida!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Kwanza nikupongeze kwa mipango mizuri ya kazi, nakukubali kwa misimamo yako ila CCM siitaki hata kuisikia, Simamia ilani ya CCM maana ndiko ulikoombea nafasi.

Cha msingi ni kwamba unatakiwa kukata na kuing'oa mizizi yote aliyopanda mtangulizi wako, nje na hapo utapiga kelele huku nyuma wanakukuna kisogo na mwishowe utachoka! Hutaweza kufanya nao kazi maana sio type yako, wengine waliwekwa tu.

Nikushauri hata baraza lako la mawaziri weka sura ngeni zote, anza nao kazi upya kuinyoosha nchi, hawa waliopita watakuingiza mkenge, wengi wao walishaanza kujitengenezea mitandao kwa ajili ya kusaka madaraka hapo baadaye, hawa watu ni sumu acha kabisa usionje! Hawa wanaojiita ni watoto wa vigogo ni wanamitandao wakubwa na wanaiabudu mitandao hiyo achana nao nabisa.

Weka timu mpya, ifundishe kupiga kazi, wale wa zamani watajifanya wajuaji watakuharibia kazi maana wana Magodfather yao nyuma wanayaogopa hata kuyatoza kodi. Unao vijana wengi wapya wachapa kazi tafuta wenye uwezo songa nao mbele. Idara zote na taasisi zote za serikali weka sura mpya tupu paa mbele hapa ndipo utafanikiwa kwa haya madudu yote uliyoyaona serikalini yamefanywa na hawa wakongwe hawa.
 
Kwanza nikupongeze kwa mipango mizuri ya kazi, nakukubali kwa misimamo yako ila CCM siitaki hata kuisikia, Simamia ilani ya CCM maana ndiko ulikoombea nafasi.
Chamsingi ni kwamba unatakiwa kukata na kuing'oa mizizi yote aliyopanda mtangulizi wako, nje na hapo utapiga kelele huku nyuma wanakukuna kisogo na mwishowe utachoka! Hutaweza kufanya nao kazi maana sio type yako, wengine waliwekwa tu.
Nikushauri hata baraza lako la mawaziri weka sura ngeni zote, anza nao kazi upya kuinyoosha nchi, hawa waliopita watakuingiza mkenge, wengi wao walishaanza kujitengenezea mitandao kwa ajili ya kusaka madaraka hapo baadaye, hawa watu ni sumu acha kabisa usionje! Hawa wanaojiita ni watoto wa vigogo ni wanamitandao wakubwa na wanaiabudu mitandao hiyo achana nao nabisa.

Weka timu mpya, ifundishe kupiga kazi, wale wa zamani watajifanya wajuaji watakuharibia kazi maana wana Magodfather yao nyuma wanayaogopa hata kuyatoza kodi. Unao vijana wengi wapya wachapa kazi tafuta wenye uwezo songa nao mbele.Idara zote na taasisi zote za serikali weka sura mpya tupu paa mbele hapa ndipo utafanikiwa kwa haya madudu yote uliyoyaona serikalini yamefanywa na hawa wakongwe hawa.

Hapo napo kweli.
 
Hii miluzi sasa itamchanganya magufuli
 
.....kula like Mahanju
 
Ni kweli ila ngumu kufanyika, lazima afanye mix fulani, anaweza bakiza 25% ya wale wa zamani, maana akiweka serengeti boys pake yao - huko mbele itakuja kuwa issue
 
Kwa ukweli lakini kumbuka ktk watu waliokua na mtandao wengine walishaondoka na walikua watengenezaji wazuri wa mtandao ndomana aliambiwa wachawi ktk kampeni kuwa wachawi wameondoka waliobaki na wanafunzi wa mchawi mkuu polepole watakimbia wenyewe tumpe ushirikiano tu jmp
 
Sisi wananchi tunamuombea kila kheri !
Kazi anazofanya ni kubwa zinazohitaji real Audacity
 
Mimi namuombea Mungu afanikiwe.Ni kazi ngumu kwelikweli.Hii mijitu iko kama vile mizombi.safari zimekatazwa lakini bado wanataka kwenda.........mijitu ya ajaabu kweli
 
Anachotakiwa ni kuweka mfumo wake wa ufuatiliaji. Kufanya hivyo itaonekana hajui uongozi. Maana taasis za serikali ni nyingi atabadilisha wangapi. Nakumbuka enzi zile za Mkapa alikuwa akipata taarifa za kiintelijensia za viongozi na watendaji wake.Halafu anapanda hewani mwenyewe kutoa karipio kwa mhusika mbovu.
 
Namtaka aajiri angalau vijana wawili kutoka ughaibuni, walioishi huko muda mrefu, kusoma na kufanya kazi zinazotambulika. Moja ya matatizo ya viongozi wa TZ (Mlimani graduates) ni kuwa hawana uelewa wa dunia na standards za kimataifa. Angalia JK anajiona amefanya makubwa sana. Na kwa kweli kwa mtazamo wake, Tanzania imeendelea saaana. Kijidaraja cha Kigamboni, Mabasi ya kasi, viiibarabara vya lane moja.....yeye aona ni hatua kuuuuuubwa! Watanzania wengi nao waona hivyo . Hadi leo vijibasi vyenye TV screens tu wanaviita 'lakshari'! Masikini! They do not know any better!
Inabidi kuwapata vijana wawili watatu walioondoa matongo ya ushamba huo ili kuendeleza Tanzania ya standards.
 
Kwanza nikupongeze kwa mipango mizuri ya kazi, nakukubali kwa misimamo yako ila CCM siitaki hata kuisikia, Simamia ilani ya CCM maana ndiko ulikoombea nafasi.
Chamsingi ni kwamba unatakiwa kukata na kuing'oa mizizi yote aliyopanda mtangulizi wako, nje na hapo utapiga kelele huku nyuma wanakukuna kisogo na mwishowe utachoka! Hutaweza kufanya nao kazi maana sio type yako, wengine waliwekwa tu.
Nikushauri hata baraza lako la mawaziri weka sura ngeni zote, anza nao kazi upya kuinyoosha nchi, hawa waliopita watakuingiza mkenge, wengi wao walishaanza kujitengenezea mitandao kwa ajili ya kusaka madaraka hapo baadaye, hawa watu ni sumu acha kabisa usionje! Hawa wanaojiita ni watoto wa vigogo ni wanamitandao wakubwa na wanaiabudu mitandao hiyo achana nao nabisa.

Weka timu mpya, ifundishe kupiga kazi, wale wa zamani watajifanya wajuaji watakuharibia kazi maana wana Magodfather yao nyuma wanayaogopa hata kuyatoza kodi. Unao vijana wengi wapya wachapa kazi tafuta wenye uwezo songa nao mbele.Idara zote na taasisi zote za serikali weka sura mpya tupu paa mbele hapa ndipo utafanikiwa kwa haya madudu yote uliyoyaona serikalini yamefanywa na hawa wakongwe hawa.

Ni kweli,ila asiwaache wote waliokuwepo kwa sababu kuna watu walikuwepo wachapa kazi wazuri tu sema mazingira yaliyokuwepo inawezekana yaliwabana.Kwa kuwa sasa amekuja mtu wa kazi inawezekana kabisa nao wakapiga kazi kama Mkulu anavyotaka!
 
Ni kweli ila ngumu kufanyika, lazima afanye mix fulani, anaweza bakiza 25% ya wale wa zamani, maana akiweka serengeti boys pake yao - huko mbele itakuja kuwa issue

Hakuna issue yoyote Kuku wake mwenyewe Hatakuwa na Sababu yakumtupia punje kumkamata Atamsubiri akiingua home lkn hayo makapi ya JK yatamtaabisha Sema CCM niileile hakuna jpya atafanya
 
Back
Top Bottom