bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 388
nmekubali ccm haijakurupuka kumtangaza mgombea uraia kwa tiketi ya chama hicho,,,takiliban wk nzima jamaa yupo mikoan anachapa kaz bla kuongelea kampein ila anapokea watu wengi na wenye umakin kimtazamo tofaut na vyama vingine hukusanya umati wenye vjana wengi wenye sura za mahitaji ya kitu flan,,na ukikuta wazee kimtazamo wanadalili zakupotea,,,ahasante ccm kutupa mtu anayetangaza tanzania kwanza vyama baadae.Mungu akubariki DR MAGUFULI