Dr magufuli akiwa kasikazn masharika

Dr magufuli akiwa kasikazn masharika

nmekubali ccm haijakurupuka kumtangaza mgombea uraia kwa tiketi ya chama hicho,,,takiliban wk nzima jamaa yupo mikoan anachapa kaz bla kuongelea kampein ila anapokea watu wengi na wenye umakin kimtazamo tofaut na vyama vingine hukusanya umati wenye vjana wengi wenye sura za mahitaji ya kitu flan,,na ukikuta wazee kimtazamo wanadalili zakupotea,,,ahasante ccm kutupa mtu anayetangaza tanzania kwanza vyama baadae.Mungu akubariki DR MAGUFULI

Kumbe uraia nowadays unagombewa???ngoja na mie nikagombee wa USA
 
Raisi John Pombe Magufuli ×
Raisi Edward Ngoyai Lowassa I think ths sound better.
 
Magufuli hoyee,uzuri hana uchu wa madaraka
 
Back
Top Bottom