[h=3][/h]
Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.
Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!
hapo mamamkwe ndiyo uelewe kuwa ushindi kwa ccm niwakufikia tu. angaria hiyo kijani no mtaji tosha ya hiyo kijani ikimwagika ile tarehe25 tayari kamba zitakuwa zimeshawaingia kwahilo tu mamamkwe usihofu.Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!
[h=3][/h]
Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.
Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!
Ameiteka kivipi wakati miaka yote 50 ni ccm ndio walikuwa wanatawala?. Isitoshe watu aliowapata kibaigwa sio wengi kama alivyowapata lowassa alipoongozana na lissu lilikuwa nyomi acha!!!. Lini mtakuwa wakweli nyie ccm?
Kweli Dada !!hapo mamamkwe ndiyo uelewe kuwa ushindi kwa ccm niwakufikia tu. angaria hiyo kijani no mtaji tosha ya hiyo kijani ikimwagika ile tarehe25 tayari kamba zitakuwa zimeshawaingia kwahilo tu mamamkwe usihofu.
[h=3][/h]
Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.
Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.
That is all you know? Poor ukawanite, when will you grow up?[Anyomi pamoja na kangamoko na upuuzi uliopitiliza
That is all you know? Poor ukawanite, when will you grow up?