CCM ina idadi kubwa ya bendera na mabango kuliko idadi ya wanachama.
CCM ina idadi kubwa ya bendera na mabango kuliko idadi ya wanachama.
Acha kujifariji kijana. Magufuli anakubalika kila kona ya Tanzania.Aaahh wapi.
Acha fix... Nina mtu hapo hanang anasema hamna chochote kwenye ziara ya Magufuli hapo.
Wanacha ni wengi na hawana hesabu. Subiri kiyama ya Lowassa October 25.Kwani CCM ina wanachama wangapi? Na bendera zao ni ngapi?
Kama anaripoti kuwa Makufuli anaitendea haki Ratiba basi vyema,ila amezidi kudorora mpaka aibu.Aaahh wapi.
Acha fix... Nina mtu hapo hanang anasema hamna chochote kwenye ziara ya Magufuli hapo.