Kinachompatia ushindi huyu dr ni upumbavu wa baadhi ya wana magu na hasa wale wa mjini na kata nyingine ukiondoa kata yake ambayo walimchagua diwani wa upinzani.
Mijitu ya Magu iko kilometa tisa tu kulifikia ziwa victoria lakini hadi leo inalia shida ya maji na bado inamchagua huyu mbunge ambaye hajaonesha anawakilisha nn!
Ng'ombe na wali wanaohongwa kule bar ya mlimani ndo vinawagharimu
Kinachompatia ushindi huyu dr ni upumbavu wa baadhi ya wana magu na hasa wale wa mjini na kata nyingine ukiondoa kata yake ambayo walimchagua diwani wa upinzani.
Mijitu ya Magu iko kilometa tisa tu kulifikia ziwa victoria lakini hadi leo inalia shida ya maji na bado inamchagua huyu mbunge ambaye hajaonesha anawakilisha nn!
Ng'ombe na wali wanaohongwa kule bar ya mlimani ndo vinawagharimu
Dr Limbu,ulipewa unaibu wizara ya maji ukashindwa kuwafikishia maji watu wa jimbo la Magu pamoja na jimbo kuwa kando kando ya ziwa vikitoria,hivi sasa umeanza kuwapiga usanii wananchi kwa ghiriba ya kulalamikia serikali kutowapatia maji wananchi wa jimbo lako!Jamani magamba punguzeni basi kulaghai wananchi.
Mimi ni mzaliwa wa Magu na nakubaliana na maneno yako kuwa mi nio Mpumbavu LAKINI SI MJINGA KAMA WEWE. Chambua na uone Mpumbavu na Mjinga yupiana nafuu. Kuweni na adabu mnapoandika maelezo yenu kutukana hakusaidii kusomeka kwa ujumbe wako bali huonyesha tafasiri halisi ya mtu hasa katika uwezo wa kufikiri. Kwanza we Obe unamjua baba yako alokuzaa!? Kama hujaelezwa basi ni mwana Magu kwa damu (Na kama unabisha kaulize vizuri) So kwa ujinga wako umemtukana Baba yako kuwa ni Mpumbavu. unaiita radhi ya mzazi Usiombe Dunia hii ukakosa radhi ya Mzazi we utahangaika na kulalamika maana mambo yako yatakwa hayaendi kama unavyotaka hadi uombe msamaha na ukubalike. Nakupa pole kwa kukurupuka hadi ukajisahau ukatukana ndugu zako. Kusoma maana yake ni kuondoa ujinga lakini wewe pamoja kupata elimu hiyo walau ujinga haujakutoka POLE SAAAAAAAAANA.
hakuchaguliwa ila aliiba kura kwa msaada wa jk na alishasema sio mbuge wa mgu mjini ila ni mbunge wa mahaha na nyanhanga walikomchaguana bado wananchi watalalamika sana na hakuna atakaye wasikia,kwa nini walimchagua ili hali wakijua alipokuwa naibu waziri wa maji hakuna lolote alilofanya,akawa naibu waziri wa mambo ya ndani yale yale,naibu waziri wa fedha hakuna la maana,na ngongoseke aliwaambia bado wakamchagua limbu,wakamsusia ngongoseke aliyejitahidi pale katani kwake akiwa diwani.shauri yenu wananchi wa magu na vijiji vyote pamoja na hiki cha yichobela.
Inaonekana wewe una matatizo ya kumbukumbu. Dr. Festus Limbu hajawahi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji, bali alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha.
Mbona unajitukana mwenyewe?mjinga akifunzwa anakuwa mwerevu ila mpumbavu daima haelimiki! Duu hii kali kumbe wewe ni mpumbavu na sio mjinga!?!
Ndugu yangu Ngereja,kabla hajawa naibu wizara ya fedha alikuwa na position gani katika baraza la mawaziri?Mpigie simu Dr. akupe ukweli naona humuelewi vizuri Limbu.Mimi ni mbunge wangu namfuatilia vizuri,kama hujui nikupe kwa kifupi sana.Huyu mheshimiwa alikuta miundo mbinu iliyopigiwa chapuo na kina Mzee Mabawa na Kapunda,pandisha mlima wa Nyashimba utakuta tenki la maji lilojengwa ili watu wa Nyashimba hadi Kinango wapate maji enzi hizo za Jembe na Nyundo.....kakuta miundo mbinu kashindwa kuendeleza kama utahutaji historia nyingine zaidi sema nikueleze yamhusuyo Dr na kupotezea kwake shida za wananchi wake....kama kuna la maana alofanya huyu ndugu yetu tusaidiane ili asilaumiwe bure.....
sikweli kwamba watu wa magu walimpigia kura huyu mbunge .alishindwa uchaguzi, sema hila za kiccm kumpitisha kupitia riz kikwete na usalam wa taifa ndo waliompitisha.wapiga kura wengi hawakumtaka huyu bwana. ni mtupu sana kichwani na hana jpya zaidi ya ujinga ni mbunge wangu anatoka tarafa yangu , tarafa yake wenyewe walikuwa wanamzomea kila wakati.ndo wabunge wa ccm bana
KWA UKOMO WA AKILI YAKO UTAONA NA KUJUA NIMEJITUKANA MWENYEWE. Kwa wenye AKILI na ambao si wajinaga kama wewe walishaelewa. INASIKITISHA KIJANA KAMA WEWE UNAJIANIKA HADHARANI KUONYESHA UMBUMBU WAKO ndo shida ya kutosikiliza maelekezo ya Wazazi na kukalia kusikiliza mambo ya vijiweni zaidi ambako mijadala mingi huongozwa na watumiaji wa JANI na wanachokiongea nia maoni yao + JANI = UJINGA. Falsafa ni nyingi shirikisha ubongo wako kikamilifu na usipoelewa uliza uelekezwe ELIMU NI BAHARI.
dogo acha matusi rejea sheria za jf
Lile tanki la Maji limejengwa miaka ya 60's baada ya uhuru ili kuwapatia maji wana Magu waliokuwa si zaidi ya elfu hamsini,kwa sasa mji umekua na population imeongezeka lakini huyu Bwana halitambui hilo pamoja na uDAKTARI WAKE, ni mjinga wa mwisho.Alichokifanya cha maana ni alipokuwa Naibu Waziri wa mambo ya ndani alipowapatia vijana ajira ya upolisi chini ya IGP yule mzawa wa masanza Marehemu Michael Mgema kama sijakosea jina.Ndugu yangu Ngereja,kabla hajawa naibu wizara ya fedha alikuwa na position gani katika baraza la mawaziri?Mpigie simu Dr. akupe ukweli naona humuelewi vizuri Limbu.Mimi ni mbunge wangu namfuatilia vizuri,kama hujui nikupe kwa kifupi sana.Huyu mheshimiwa alikuta miundo mbinu iliyopigiwa chapuo na kina Mzee Mabawa na Kapunda,pandisha mlima wa Nyashimba utakuta tenki la maji lilojengwa ili watu wa Nyashimba hadi Kinango wapate maji enzi hizo za Jembe na Nyundo.....kakuta miundo mbinu kashindwa kuendeleza kama utahutaji historia nyingine zaidi sema nikueleze yamhusuyo Dr na kupotezea kwake shida za wananchi wake....kama kuna la maana alofanya huyu ndugu yetu tusaidiane ili asilaumiwe bure.....
Lile tanki la Maji limejengwa miaka ya 60's baada ya uhuru ili kuwapatia maji wana Magu waliokuwa si zaidi ya elfu hamsini,kwa sasa mji umekua na population imeongezeka lakini huyu Bwana halitambui hilo pamoja na uDAKTARI WAKE, ni mjinga wa mwisho.Alichokifanya cha maana ni alipokuwa Naibu Waziri wa mambo ya ndani alipowapatia vijana ajira ya upolisi chini ya IGP yule mzawa wa masanza Marehemu Michael Mgema kama sijakosea jina.