Inawezekana humfahamu ndio maana unasema hivyoSometimes huwa sielewi watu wanfikiria nini
hivi unadhani urais ni sawa na mtendaji wa kata siyo?
Kitila ni mtu anayeheshimika katika jamii, sasa wewe unapompigia kampeni za kibaguzi sio jambo la busara.Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema. Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk. Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Ninamfahamu sana tuInawezekana humfahamu ndio maana unasema hivyo
thanks mkuu...........Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.
Hahaha, Kweli sugu anafaa sana.Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Lol..omr..Hahaha, Kweli sugu anafaa sana.
Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.
Agombee kwanza ubunge kwao!tumpime
kama katibu wenu Mkama!Lol..omr..
Huyo kitila hata hajawahi kuwa balozi wa nyumba kumi.
Mzee wa michemsho...Shibuda 4 2015!!Hahaha, Kweli sugu anafaa sana.
Huyu akigombea urais basi CCM watamweka Mashishanga.Mzee wa michemsho...Shibuda 4 2015!!