Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Anauliza ndonya Msumbiji?Wanabodi ITV Imerusha mjadala wa vijana leo chuokikuu Dar es salaamu katika kumuenzi MwL Nyerere bure ambapo wachokoza mada wasomi, vijana, wazazi viongoz wameufikia umma kutukumbusha mwalimu kama mwalimu, mwanasiasa, kiongoz, mkulima, mwandishi, raisi na mwanasia alitenda kwa ajili ya Tanzania tuitakayo wakamulika Tanzania baada yake nini kinatendeka. ITV Imesababisha hayo kufika nje ya ukumbi, mkoa,nchini nje ya nchi au hapo ulipo kama uliangalia bure Je kutokana na kutambua mchango wa mwalimu na mambo mbalimbali ITV Ilirusha ni wakati wa kusema ni TV ya Taifa kwa sasa mambo ya kizalendo na kimabadiliko na hata ya kidemokrasia ya uhuru wa maoni yanazimwa kama yanamulika watawala. Mie naungana na Dr Kitilia Mkumbo, "ITV ni TV ya Taifa" Nini maoni yako juu ya chombo hiki kusababisha mabadiliko yanayotokana na jitihada za MwL katika nyanja tajwa hapo kwa Tanzania tuitakayo kulinganisha na TBC. Nia ni kupata maoni ya kukisaidia chombo hiki kwa vipindi kama kipima joto, malumbano ya hoja, mijadala na habari
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
Swala la kusambaa ni pesa au leseni?
ITV ndio TV ya taifa,ndio maana kova,mkuu wa mkoa na sheikh mkuu dar walikimbilia ITV sakata la msaafu kukojolewa.
kwani amefanya dhambi??Yule "dogo" kauzu anakojolea Msaafu??
Ni baada ya kukubali kurusha kongamano la vijana kuhusu mwl Nyerere.
Kasema kuwa TV ya taifa sio lzm gari lako liwe na SU au STK, bali matendo.
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
Ni baada ya kukubali kurusha kongamano la vijana kuhusu mwl Nyerere.
Kasema kuwa TV ya taifa sio lzm gari lako liwe na SU au STK, bali matendo.
Ni kweli lakini kwa nini wasiuze share kama presion air au crdb kwa watu wengine ili ifunge mitambo yake nchi nzima!!!! yani huwezi amini moro na bukoba ndo wamefungiwa juzi!!!!
IPP kama pesa ushapata bana fanya mpango itv iwe ya watu bana! watu wa karibu kamshaurini huyu mzee Mengi.. yule dada pale anamlia pesa tu aampi mawazo endelevu!