Dr. Kitila Mkumbo aipa ITV hadhi ya Television ya Taifa

Inaonesha wewe ni raia wa kigeni bali jina la MWAISOBA umechukua la wajomba zako baada ya babako kukukataa, hakuna mnyakyusa ana mawazo ya ajabu na ya kitoto kama wewe!

Mkuu huyo mwaisoba na kibonde wote akili zao sawa, kichwani wamejaa maji.
 
nakubali ITV na STARTV kuwa ndio TV za taifa na TBC ni ya serekali sasa sijui hiyo serekali inamtumikia nani? jibu ni rahisi serekali zote duniani zinatumikia wananchi wake bali hii ya TBC inalazimisha kutumikiwa na wananchi na na hapo ndio chanzo cha vurugu na mauaji.
 
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
Kweli nimeamini kuwa Dr. wa ukweli amewashika pabaya! naapa hamtapumua mpaka kieleweke!
 
Muanzisha uzi ana matatizo ya akili au ni mwanamtandao kwani alichokisema Dr. Kitila ni cha kuhoji wakati ukweli upo wazi angalia hata habari zao ubaguzi,ukada na woga wa kutetea haki. Mshana aliyepewa nafasi kwa upendeleo ataruhusu majadiliano ya wazi kama Tido Mhando?

Mimi mtoa uzi sijakuelewa. Hebu thibitisha ukosefu wangu wa akili na uanamtandao wangu, kwamba mi al qaeda au al shababy?
 
hii topic yako peleka facebook, hapa sio mahali pake.

Haya greatest thinker, umesikika, japo sio lazima pia uchangie kila uzi.
Nyingne unapitia tu na kukaa kimya, ewe mwenye akili kubwa mno!
 
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.

Awadhi:
Acha uchochezi!!! Hebu tueleze TV ya CCM ndiyo ipi miaka 50 na ushehe bado wanatumia TBC mali ya umma kwa kupendelewa?
 
Jaman leo mnawaponda tbccm wakat juzi wameonesha kavareji ya MBAGARA NA WALISIFIWA SANA HAPA,,,,,,,,
msiwe na NDIMI 2
 
Chezea itv?chezea mengi?chezea ipp?chezea bonite?chezea nipashe?tehe tehe tehe tbc!
 
Nashangaa watu kutaka kuitumia vibaya siku ya mwalimu kufanya siasa au kuendeleza malumbano yasiyo na faida kwa nchi yetu. Kama ITV wakiamua kurusha makongamano ya Kitila Mkumbo Live na hii si mara ya kwanza hiyo ni ridhaa yao. Lakini kwenda mbali na kutaka kuwaghiribu wa Tanzania kuamini eti ITV ni ya Kitaifa zaidi hayo ni mambo ya mtu bunafsi anayesema hivyo na anajua anachokifanya. Si vema watu kutaka kuharibu hii siku muhimu ya Baba wa Taifa.
yale ni maoni yake,je wewe unafikiri tv ya taifa inapaswa iweje?
 
Roughly kwa masaa manne malipo yake ni atleast ten million
Hongera mengi umeonesha uzalendo wa hali ya juu
 
By Characteristic and ideology of a TV station, TV station identify itself to the Nation and get a justification to be called a national or inter-nation TV. Some have become so partisan and no only this but also too much lying to the extent that neither citizens nor foreigner have faith on them, this is called a loss of accreditation as a nation TV. TBC has to do a retreat. Big up ITV.
 
Back
Top Bottom