CHUKI BINAFSI, TAJA NI MIGODI IPI JK AMEUZA? HALAFU TAJA YA MKAPA. chuki nyingine ni zakijinga sana. sijui kwa sababu ya imani yako, anyway I do not know what excatly is.Jamani kitendo cha huyu Mkwere kukiua CCM kwa kufanya ni chama cha familia, kuwakumbatia mafisadi, kuuza migodi kwa wageni nk ni kitendo cha kuungwa mkono sana maana bila kufanya hivyo
1.Zingetoka wapi ghadhabu za wananchi kukichukia chama?
2.Wamachinga wangepata wapi ujanja wa kupigia kura Chadema?
3. Slaa angepataje nguvu ya kupambana na ccm?
4.Viongozi wa dini wangepata wapi jeuri ya kuikataa ccm hadharani?
Asante Kikwete umeibadilisha Tanzania:israel: kampumzike salama pale Usogi. Tafadhali usiondoke na funguo za ikulu tunataka tuanze kudeki
To early kumuaga mkuu!!! Umemsahau Jaji Mstaafu Makame!!!:doh:
unafikiri bunge linalokuja ataliweza?? mwe!! TUNDU LISU NDANI HAHAHA HEHEHEHJamani kitendo cha huyu Mkwere kukiua CCM kwa kufanya ni chama cha familia, kuwakumbatia mafisadi, kuuza migodi kwa wageni nk ni kitendo cha kuungwa mkono sana maana bila kufanya hivyo
1.Zingetoka wapi ghadhabu za wananchi kukichukia chama?
2.Wamachinga wangepata wapi ujanja wa kupigia kura Chadema?
3. Slaa angepataje nguvu ya kupambana na ccm?
4.Viongozi wa dini wangepata wapi jeuri ya kuikataa ccm hadharani?
Asante Kikwete umeibadilisha Tanzania:israel: kampumzike salama pale Usogi. Tafadhali usiondoke na funguo za ikulu tunataka tuanze kudeki
CHUKI BINAFSI, TAJA NI MIGODI IPI JK AMEUZA? HALAFU TAJA YA MKAPA. chuki nyingine ni zakijinga sana. sijui kwa sababu ya imani yako, anyway I do not know what excatly is.
kikwete akiishaapishwa tu anaanza safari zako za kila siku na kuhudhuria makitchen party
Chama kinachotaka kuuawa kinachukua viti vya ubunge kwa 80% na urais kwa zaidi ya 70%?
Undondo nao una mipaka yake ati! Teh teh teh!!!! :smile-big: