Dr Kijaji: Kuanzia sasa mashine za EFD zitatolewa na TRA pekee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Naibu Waziri wa fedha Dr Kijaji amesema kuanzia sasa ni marufuku kampuni binafsi kuuza mashine ya kukokotolea kodi EFD na kwamba mashine hizo zitatolewa na TRA pekee. Amesema hayo katika mkutano wake na wawakilishi wa wafanyabiashara wa mkoa wa Mwanza, mkutano uliofanyika jijini humo.Source TBC Tv habari!
 
duuh, TOTAL FISCAL, Pergamony, compulnx, Datecs, wataishije? hizi mashine huwa zina misbehave je staff wa TRA wataweza kuja kuzifanyia maintanance?
 
Back
Top Bottom