Ilivyo ni kwamba, kama kuna Doctor-patient relationship, daktari haruhusiwi kumtongoza mgonjwa. Doctor-patient relationship ni pale ambapo mgonjwa anakuwa yuko chini ya daktari, iwe kwa uchunguzi, matibabu au follow up. Kipindi hicho chote, daktari akimtongoza mgonjwa, anakuwa ametenda kosa, ni kinyume na medical ethics.
Ila, inapotokea ile Doctor-patient r/ship imeisha i.e mgonjwa kapona na hayuko chini ya uangalizi wake, na hategemei huruma ya daktari tena, hapo daktari anaweza kumtongoza aliyekuwa mgonjwa wake, wakajadiliana km equals, bila m1 kuwa na advantage juu ya mwingne, na wakikubaliana kupeana, hakuna tatizo.