Dr. Kafumu, gunia la kunguni Igunga

Dr. Kafumu, gunia la kunguni Igunga

igunga yetu

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
26
Reaction score
5
Mwaka 2011uliiba kura, awamu hii vivohivo,. wanaigunga wanajiuliza uliwatendea nini, watoto wao walishindwa kunufaika na mfuko wa mbunge, Bali ulimnufaisha Katibu yako pekee, aliutumia mfuko huo kujenga nyumba, kulipa wagAnga wa kienyeji (wachawi), kutanunua na makahaba na kugharimia chakula na malazi ya Katibu wa ccm Wilaya.
Bwana kafumu, unamfahamu, otieno, changarawe, mr.msabila? kwa nini hukusikiliza ushauri wao na badala yake ukawatenga na kuwadhihaki, itumba si kwenu bali ushetu kahama ndio kwenu, katiba pekee inakulinda, swali LA msingi kwako, utabadilisha katibu wako? utakuwa mzalendo? Igunga yetu imeingiliwa, muda utapita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom