Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Haya sio majibu. weka link hapa.

"kumbi na kumbinga"
ukiuliza maana yake hujui, ukijibiwa hata kama ni tofauti na matakwa yako chukua hilo ndo jibu, otherwise ulikuwa unawaghilibu watu, humpati wa kumsakizia ban.

KAFUMU KUFUMULIWA!
 
leteni updates basi ina maana kesi haijaanza mpka sasa??

mkuu OSOKONI, umeambiwa kuna warugaruga wako full armed, mavikojozi, mavikohozi, na zile za migodini "sauzi"
Lazima utulivu uwepo, sometimes hata kugonga keyboard ni kelele, inaweza tumika ya kugongea tembo kukunyamazisha, kwi kwi kwi! Utanyamaza jumla.

Vuta subra,

Kafumu kufumuliwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona imekuwa ikisilizizwa siku nyingi sana ndugu, mara ya mwisho magufu alitwa kutoa ushahidi akasema ana ID ya mwezi mzima kwa hiyo akutokea mahakamani, jaji akasema sawa, tatasoma huku 20/08/2012
hivi kuitwa mahakamani ni hiari au ni lazima kisheria? kwa nini magufuli hakwenda na kwa nn hakukamatwa kwa kudharau mahakama au kwa kuwa waziri yupo juu ya sheria??
 
hivi kuitwa mahakamani ni hiari au ni lazima kisheria? kwa nini magufuli hakwenda na kwa nn hakukamatwa kwa kudharau mahakama au kwa kuwa waziri yupo juu ya sheria??

Shahidi huwa hashurutishwi, hakuna kipengele elekezi kanakwamba akamatwe pindi akigoma kufika mahakamani kutoa ushahidi.
That means, si dharau kukataa kushuhudia tukio mbele ya hakimu na mahakama kwa ujumla, bila kujali shahidi ni waziri ama rais mstaafu.
 
Naamini Hukumu itakuwa ya haki kwa kubainisha vifungu vya sheria na makosa, utetezi ulio wazi ndiyo utatoa ushindi
 
CCM-Mahakama na CCM-Jajis zimenifanya niwe na ganza swala linapokuwa mahakamani
 

acha uongo wewe gari la maji ya kuwasha lipo wapi?
 
CCM wasivyopenda kurudia uchaguzi natumaini sheria zitapindishwa hili mladi tu waonekane wameshinda amini usiamini
 
hukumu imeanza kusomwa?? mliopo huko lengeni kwenye maada acheni porojo zingine??
 
nipo mahakamani hapa nzega suala linaloweza kumpa ushindi ni magufuli kutoa ahadi ya kujenga daraja la mbutu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…