Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

naamini CHADEMA WATASHINDA LAKINI MAHAKIMU HAWA WANAOTEULIWA NA YULE YULE TUNAESHITAKIANA YAANI JK HAKI BADO INATILIWA SHAKA KUTENDEKA
 
naamini CHADEMA WATASHINDA LAKINI MAHAKIMU HAWA WANAOTEULIWA NA YULE YULE TUNAESHITAKIANA YAANI JK HAKI BADO INATILIWA SHAKA KUTENDEKA

CHADEMA wanaweza kushinda hii kesi, lakini kwasababu hakimu yupo kwenye list ya Tundu Lissu mambo yanaweza kugeuka!
 
Reactions: SMU
naomba mahakama itende haki, asionewe wala kupendelewa yeyote,
kila mtu apewe anachostahili.
 
Wakati tunaendelea kusubiri updates za hukumu,
tadhafari tunaomba kujulishwa juu ya yafuatayo kwa mwenye taarifa:
1/Mwenendo wa kesi ulikuwaje(Hoja,mjadala,mashahidi,vitimbi)

4/Matumaini na hamasa kutoka kila upande zikoje

1) upo uzi humu unaosimulia kafumu alivyobanwa

4) ni matumaini ya wengi including kafumu himself kuwa anafumuliwaaaaa.

Kashindye kidedea, matumaini yako juu sana.
 
nishaanza kushangi. . . . .
Oya oya oya! . . . . .oya oya oya!

Hana pa kutokea, anafumuliwa, nafasi yake wizarani kwisha jazwa, ndo maana uwaziri aliusikia kwenye vyombo vya habari i.e tbcccm,

oya oya oya! . . . . . .

mkuu uko deep sana, nami natmai ivo, lkn jaji mwenye hii kesi kuna mda kafumu alimkataa baada ya kuona dalili mbaya dhidi yake, ivo uyu kima atang'oka tu inshalah
 
Mbona kimyaa wakuuu?

tunatafakari. Nchi yetu sheria zao, polisi wao majaji baba, wajomba, bunamu zetu lakini wanatutenda, hatuaminiani. yote haya ni kwasababu ya umasikini
 
chadema wanaweza kushinda hii kesi, lakini kwasababu hakimu yupo kwenye list ya tundu lissu mambo yanaweza kugeuka!

duh kweli itakuwa changamoto kwa jaji km yumo kt utetez wa tl kwani jk atamwambia hao cdm c watu hawakupendi, piga chini hao
 
Huu jaji atakaye ipa CDM ushindi itabidi alindwe kama ulimboka!
 
Ukiona gari la washawasha lmepak hapo jua ccm kidedea c wanawatumia hawa jamaa kulazmisha mambo
 
Mbona imekuwa ikisilizizwa siku nyingi sana ndugu, mara ya mwisho magufu alitwa kutoa ushahidi akasema ana ID ya mwezi mzima kwa hiyo akutokea mahakamani, jaji akasema sawa, tatasoma huku 20/08/2012

Siku ya kusikiliza si ya kutoa uamuzi. hawezi kuvuliwa siku ya kusikilizwa kesi.
 
Mbona kimyaa wakuuu?

jogoo hana mamlaka na jua, hata akigoma kuwika kutakucha tu, vuta subra, karibu kunakucha, kila kitu kitakuwa hadharani.

ANAFUMULIWA!!!!

Mkapa alimsaidia mahalu, amemdidimiza kafumu, wanafumuliwa collectively, magufuli ndani, mwigulu ndio kabisaaaaaa.
 
Polisi wengi, maji washa nyote vya nini? Kwa lema yalikuwa hivyo.wakatengua . Ukiona hivyo ujue gamba limechukuwa
 
tunasubiri kwa hamu kubwa litakalojiri huko
 
 
1) upo uzi humu unaosimulia kafumu alivyobanwa

4) ni matumaini ya wengi including kafumu himself kuwa anafumuliwaaaaa.

Kashindye kidedea, matumaini yako juu sana.

Haya sio majibu. weka link hapa.
 
leteni updates basi ina maana kesi haijaanza mpka sasa??
 
Ukiona gari la washawasha lmepak hapo jua ccm kidedea c wanawatumia hawa jamaa kulazmisha mambo

SI KWELI ATA KTK KESI YA MNYIKA MAGARI YA POLISI PIA YA MAJI WASHA YALIKUWAPO? IVO C KUWEPO KWA MAGARI AYO NDO CCM ATASHINDA, ANYTHING CAN HAPPEN MKUu, LETS PRAY 4CHADEMA
 
Hizi hukumu huwa zinasomwa kwanza lumumba ndio zinapekwa kwa majaji kama ile ya Lema waliisoma kwanza magogoni je hii haikusomwa magogoni au lumumba ???

Vodafasta watatuua mwaka huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…