Hakika huyu ndo Mwenyekiti pekee alie hamua kujipimia kipimo chake sahihi na ndo naona wenzake wamemfuata.
Jambo kubwa ni Je Mchango wake ukoje huko bungeni? Kweli anadhihirisha uwenyekiti wake? Tunawakaka viongozi wote wa upinzani kuanzia wenyeviti wakakamate majimbo ili waingie bungeni waonyeshe tofauti na umuhimu wa wapinzani wakuwepo na kuongezeka bungeni na hakutakua na maana yoyote wao kuwepo kama hawaleti impact.