DR. Jakaya Kikwete, next UN Sec General?

Leeeo nataka nitoke na mpenzi wangu Seeeya ujue Seeya nakupendaga sanaaa...guitar linafuata
 
Wazee wa kuzungusha na wazee wa kukurupuka watakufa kwa wivu.
Endeleeni kujitenkenya na kucheka wenyewe. Haitakaa itokee. Sitatoa ahadi kama za manabii fulani. Lakini haitatokea. The guy is inept and incompetent. Na kama mnadhani watu duniani hawajui, then hamjaisoma dunia sawasawa. Angalia jinsi ghafla Bwana Pombe alivyopata washabiki duniani..
Na kama unadhani ni suala la wazungusha mikono, basi utapotoka zaidi. Wengine hatutaki kufikiri katika kisanduku. Tulikuwa UKAWA mpaka walipomkaribisha Mpiga Filimbi wa Hamelin. Tulimsapoti Pombe si kwa sababu ya nyinyiemu. Wala hatuwaungi mkono watu wote walio katika nynyiemu au ukawa. Yeyote anayevurunda awe ndugu yangu au si ndugu yangu lazima akosolewe. Hakuna cha kuzungusha mikono wala unyinyiemu hapa.
 
Africa nafasi yao ilishapita ni zamu ya marekani ulaya hivyo kama una mahaba na Kikwete pole!
 
Africa nafasi yao ilishapita ni zamu ya marekani ulaya hivyo kama una mahaba na Kikwete pole!

Ingetosha kutoa elimu ya mzunguko wa uteuzi wa Sec Gen UN bila kionjo cha "mahaba".
Point is: kwa mwenendo wa uteuzi huo ni watu wenye sifa gani wanaofikiriwa kuwa Katibu Mkuu?
 
Ingetosha kutoa elimu ya mzunguko wa uteuzi wa Sec Gen UN bila kionjo cha "mahaba".
Point is: kwa mwenendo wa uteuzi huo ni watu wenye sifa gani wanaofikiriwa kuwa Katibu Mkuu?
Ban ki Moon anaondoka muda wake unaisha,kumbuka yeye kuwa pale alipo Tanzania ndiyo kura pekee ilisubiriwa ili awe SG na kipindi hicho Kikwete akiwa Waziri Ban ki Moon alikuja Tanzania kuomba kura akiwa waziri wa mambo ya nje korea kusini na alikuwa na urafiki na Kikwete walipoenda NY Tanzania ikampa kura na akapita na kuwa SG zawadi ya kwanza nikumpa Dr A Migiro hivyo kumpa rafiki yake teuzi hizi ni fadhila pia huwezi kutoka cheo cha Urais ukaenda kugombea UN SG ni kushuka na sikupanda!
 
MTK, what do you want to insinuate here...hate or what? JK is the world class diplomat and that is the bottom line...
 
Hapa tu yalimshinda huko si kitakuwa kichekesho.
sizani kama JK kazi ya UN secretary General inaweza kumshinda...experience anayo na kuna watu wengi wanafanya kazi in background and then yeye anabaki kuwa mtu wa mwisho kumalizia. I hope wapo washauri wa Secretary General, kwani hata Ban-ki moon hajafanya lolote la maana...failure zilikuwa nyingi kuliko success..
 
Kwa kigezo kipi,wakati mo ebrahim, amekosa mtu afrila,sasa wazungu ndio wampate?.
 
Hongera Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa habari ikulu, hongera Jerry Muro kuwa msaidizi wake, Mungu awatangulie Kwenye utumishi wenu.
Jerry Muro kabisa, apewe kazi ikulu ya wapi hiyo!?! Aibu tupu na haitakaa itokee kwa sababu Muro anahitaji counselling ya hali ya juu kabla ya kuajiriwa na mtu yoy
Credible sources please


MTK, what do you want to insinuate here...hate or what? JK is the world class diplomat and that is the bottom line...

The term world class is a relative term?! You have to qualify it!? Your idol is only fit for ngonjera and other inconsequatial chores period!
 
Dr. Jakaya Kikwete kuwa next UN Sec General ni sahihi kwa uelewa wa Lumumba street university. hii ni zamu ya Latin America........
 
He more than doubled TZ GDP, Built many development, social, education and health projects than any other president,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…