Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Mwanzoni alivyo anza mafundisho yake chanel 10 nilimkubali lakini siku zilivyokuwa zinasonga nikaona kama ananipoteza na ndio ukweli, na kwa sasa si muamini tena na amepoteza umaarufu wake na wateja pia.
 
Hivi wana JF mmewahi kuhoji huyu Ndodi ni Daktari wa aina gani? Ni medical doctor au mganga wa kienyeji? Ni muhubiri au Mwinjilist.? CV Yake inasemaje? Anafanya "matibabu" ya Miti shamba anaweka vionjo vya dini ili kuwateka watu kisaikologia na watu wanaingia mkenge.!!? "Dr" gani anatibia viguest house tena vichochoroni? Watanzania "tumelogwa" na nani?!!! Mbona tunachezewa afya zetu kirahisi tunakubali tu!!!! Tafakarini...
 
Ok Hilo ni tatizo moja kwa mtazamo wako... Matatizo mengine ni yepi?



 
Mtu akisoma title atadhani una hoja ya maana kumbe ni porojo na chuki binafsi tu. Kwani umelazimishwa umsikilize? Ushindwe na shetani wako anayekuongoza.
 
pombeeeee i love u more than everthing
 
Wanasema aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, Mimi nilinunua kitabu chake cha tiba mbalimbali kupitia matunda na vitu mbalimbali vinavyopatikana katika mazingira yetu. Kuna bwana mmoja alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo mpaka alikuwa anaenda kulazwa lakini sasa baada ya kumwazima kitabu sasa hivi jamaa yuko vizuri, anakula vizuri na afya njema!
 

Hizi ni porojo tu.....
 

mmmhhh pombe ni uamuzi tu..
 
Ok Hilo ni tatizo moja kwa mtazamo wako... Matatizo mengine ni yepi?
hilo Tatizo halikutoshi kumaanisha ni punguani tu wanaoweza kukaa pembezoni mwa uwanja wa ndege wakisubiri UNYAKUO kwa kupanda ndege? Ni waumini gani wanaweza kufanya kituko km hicho na wakemewe na Mkuu wao wa kanisa km si hao tu
Huwezi kujifananisha na ndege warukao angani na kula bure mpaka ukajiamulia Jumamosi usifanye kazi na basi usile
 


Mbona unatokwa na maneno sn Mkuu...!

Umesema hapo nyuma kwamba Wasabato wana matatizo sn nikakuomba unionyeshe hayo matatizo ya Wasabato. Na umenionyesha moja ambalo wewe unaona ni tatizo.... Lkn hapo ulisema Kua Wasabato wanamatatizo hii ikiwa na Maana kwamba matatizo ya hawa Wasabato ni mengi.... Ndio Maana nimekuomba unipe hayo matatizo Yote niyaone kwa faida ya Jamii nzima..!

Alafu kutokufanya kz siku ya jumamosi Au siku ya sabato sio maamuzi ya wanadamu Au Wasabato wenyewe Bali ni Mungu Mwenye....! Soma Kutoka 20:8-11.

Alafu tunapojadiliana tujadiliane kwa facts sio kutoa maneno Au kalili za mitaani mwisho wa siku Unaweza ukajiona unafahamu kumbe unaonekana kituko tu ktk jamii.....!

Nayasubiri hayo matatizo mengine Mkuu uniorozeshee......!
 

  1. Matatizo nimeshakuorodheshea hayo unayoyataka ya zaidi hayahusiani na Mada yetu ya Dr Ndodi na pia lipo Jukwaa lake la DINI sio hapa
  2. Ni uongo mkubwa kutumia maandishi na vitabu vya Agano la kale wakati mnatakiwa mbadilike angalau basi hata Agano Jipya linakanusha mambo mengi ya huko nyuma kma Mambo ya Walawi na hiyo Kutoka 20:8-11
    • soma Marko 2:23-27 ( 27 inamaliza kz Basi YESU akawaambia'Sabato iliwekwa kwa ajili ya Binadamu na si Binadamu kwa ajili ya Sabato, Kwa hiyo mwana wa MUNGU ana uwezo hata juu ya Sabato
    • soma Mathayo:1-8 na hata Lika 6:1-5
  3. Wakati wa kujadiliana nimeshasema sio jukwaa hili tafuta thread yako ipeleke jukwaa husika kwani hii tulishaijadili
    1. sitabishana na wewe kwani nimekatazwa kubishana na watu km ww barabarani juu ya YESU
      Soma Isaya 42 1-4 Mtumishi wa MUNGU Hatalia wala kupiga kelele barabarani
      imerudiwa pia kwenye Mathayo 12:15-21
      ukajiona unafahamu kumbe unaonekana kituko tu ktk jamii.....!
      • Kwa hiyo acha madharau kwa mtu usiyemjua eti NAONEKANA KITUKO KATIKA JAMII
        na kutuwekea Maandishi ninayoshinda nayo kila siku katika maisha yangu
        kwamba siyajui
 
Wakati ulipowashambulia Wasabato Ulikua haufahamu km hii ni thread ya Dr Ndodi?


Unasema ni UONGO MKUBWA KUTUMIA MAANDISHI YA AGANO LA KALE WAKATI HUO HUO UNATUMIA ISAYA 42:1-4 kutaka kukimbia Au Hiyo Isaya iko agano jipya?


Yesu alisema hakuja kutengua Torati Bali kutimiliza sass kwa kauli Hiyo ya Yesu iko dhahiri kwamba hakufuta sheria yoyote ile.

Sabato ilifanywa kwa ajili ya mwanadamu hivyo Basi sabato iko juu ya mwanadamu na mmiliki wa sabato Hiyo ni Yesu ambae ni Bwana Wa sabato na Si mwanadamu.

Uliposema neno ni "UPUNGUANI" Hapo Ulikua hauonyeshi Madharau? Au baada ya kukuambia utaonekana kituko ktk jamii ndo umeona Hiyo ni dharau? Km unayafahamu maandiko na kwamba unayosoma kila siku ilikuaje useme kwamba Wasabato wanajiamlia kutokufanya Kazi siku ya jumamosi Au sabato kana kwamba hayo maamuzi wanayachukua wao bila maandiko? Km sio kituko ni nini Hichi?

 
salama mkuu...?huyo dr& muinjilisti ungemwacha tu aendelee kutafuta mkate wake wa kila siku....kuna ubaya gani...?anatibu huku anahubiri kulingana na imani yake...uchaguzi ni wako usikilize kipindi au kipotezee tu,shida iko wapi? jifunze kusoma alama za nyakati mkuu...
 

We umezunguka koote kumbe pointi yako kawasema wala ngano hhhhhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…