Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,523
- 69,425
Mnaenda naye wapi?Tunaenda na Mwinyi 2025
Kwani kuna mtu anakosa kuwa na Ndugu ktk familia?Hivi hii nyumba ya mkuranga alikozaliwa babu yake na baba yake anaishi nani kwa sasa?
Mitano kwenda wapi?Mitano tena
Sina uhakika, kibaki kisiwa gani hajakiuza?Kwani kuna mtu anakosa kuwa na Ndugu ktk familia?
Huko hukoMitano kwenda wapi?
Aaah basi sawaHuko huko
Karume mdogo anasemajeHuyu Mwamba aisee amenishangaza.
Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake umepevusha amani na utulivu ndani ya visiwa vya Zanzibar.
kuna utulivu wa juu sana ukilinganisha na awamu zilizopita.
Hongera sana Dr Hussein Mwinyi ongeza juhudi kupunguza Uharifu mdogo mdogo ambao umetapakaa ktk mitaa na korido za Zanzibar.
Kumekuwepo na matukio ya vijana kupora watu mabarabarani na kuwaacha na majeraha ya mapanga visu na bisibisi.
Tunaamini chini ya uongozi wako makini basi Jeshi la Polisil liongeze nguvu na kuacha Muhali watu wanaumia sana.
Weekend njema Wadau.
Hana viwango vya kimfikia Dr HusseinKarume mdogo anasemaje
Unapenda kutawaliwa na wazanzibar?Tunaenda na Mwinyi 2025
Hapana, hayo mambo ni ya wazungu. Wao wanahamasisha ht ndoa za jinsia moja tena zinafungwa MakanisaniKwani uwongo haya mambo yanafanyika zenji?
Haya bana MAASHALLAH Allah AKBARHapana, hayo mambo ni ya wazungu. Wao wanahamasisha ht ndoa za jinsia moja tena zinafungwa Makanisani
Ni kweli Zanzibar imetulia kisi na hakun zile vurumai za wazanzibari vichaaambao kila leo wako barabarani kupinga kila kitu.Huyu Mwamba aisee amenishangaza.
Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake umepevusha amani na utulivu ndani ya visiwa vya Zanzibar.
kuna utulivu wa juu sana ukilinganisha na awamu zilizopita.
Hongera sana Dr Hussein Mwinyi ongeza juhudi kupunguza Uharifu mdogo mdogo ambao umetapakaa ktk mitaa na korido za Zanzibar.
Kumekuwepo na matukio ya vijana kupora watu mabarabarani na kuwaacha na majeraha ya mapanga visu na bisibisi.
Tunaamini chini ya uongozi wako makini basi Jeshi la Polisil liongeze nguvu na kuacha Muhali watu wanaumia sana.
Weekend njema Wadau.
Mzee haya maigizo unayatoa wapi
Wanapangisha kama unataka kuishi Mkuranga!Hivi hii nyumba ya mkuranga alikozaliwa babu yake na baba yake anaishi nani kwa sasa?
LumumbaTunaenda na Mwinyi 2025