Dr. Hoseah wa TAKUKURU ndani ya ITV- Dk.45 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hoseah wa TAKUKURU ndani ya ITV- Dk.45

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bitabo, Jun 25, 2012.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wakuu wale ambao mna access na ITV ya Tanzania, soon Dr. Edward Hoseah atakuwa na mahojiano kwenye kipindi cha Dk.45. karibuni.
   
 2. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ndani ya miezi sita iliyopita wamefikia malengo kwa kupeleka kesi nzito 5 mahakamani
  Mwamko wa Watanzania juu ya rushwa na utawala bora ni mkubwa sana
  Uwajibikaji kwa bunge na serikali umeongezeka
   
 3. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Anatamani awe na ofisi mpaka kwenye kata ili kero za mwananchi wa kawaida zipungue sana
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kila siku ni mipango 2 hakuna baada ya mipango sasa matokeo yake ni nini, ni wizi mtupu
   
 5. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  CAG Report kwa watumishi wa halmashauri, pesa nyingi zimepotea. Skills and professionalism ni muhimu sana kwa watumishi. kila halmashauri zina kamati za maadili ila haamini kama zinapewa ushirikiano wa kutosha na wakurugenzi (DED). kesi za mahakamani ni 469 na zilizopo kwa DPP ni 72
   
 6. v

  vngenge JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nchi hii, kesi 5 miezi 6, kwa mwaka kesi 10 wanatumbua tu budgeti
   
 7. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hongo ni sehemu ya rushwa. Rushwa ni dhana pana zaidi. Anayeombwa hongo akitoa taarifa takukuru, lazima alindwe.
   
 8. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Upuuzi tu, hawana lolote. Wanabweka ila kung'ata ndo msala! Siwezi kusikiliza kibogoyo, mnapoteza muda wenu kumkodolea macho. Kesi kibao za wahujumu uchumi, wao wanachagua wamkamate nani wamwache nani!! What the hell is this TAKUKURU!
   
 9. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hizo ni kesi kubwa zinazohusu vigogo au 'Grand Corruption'
   
Loading...