mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Salaam,nimeskia katika Radio moja ikisoma Magazeti kuwa Tahariri inamlaani Dr(mb)Hamis Kigwangala kugomesha madaktari wenzake,
Napenda mnisaidie kujua ni sawa kwake kama Mbunge kfanya hivyo?au kama Daktari ni sawa kuacha wagonjwa wafe kwa ajili ya posho?naomba sana kujua kutoka kwenu....
Ni sahihi kabisa, bila posho intern hawezi kuudumia wagonjwa maana hana mshaharaSalaam,nimeskia katika Radio moja ikisoma Magazeti kuwa Tahariri inamlaani Dr(mb)Hamis Kigwangala kugomesha madaktari wenzake,
Napenda mnisaidie kujua ni sawa kwake kama Mbunge kfanya hivyo?au kama Daktari ni sawa kuacha wagonjwa wafe kwa ajili ya posho?naomba sana kujua kutoka kwenu....
Salaam,nimeskia katika Radio moja ikisoma Magazeti kuwa Tahariri inamlaani Dr(mb)Hamis Kigwangala kugomesha madaktari wenzake,
Napenda mnisaidie kujua ni sawa kwake kama Mbunge kfanya hivyo?au kama Daktari ni sawa kuacha wagonjwa wafe kwa ajili ya posho?naomba sana kujua kutoka kwenu....
Mkuu,Jamani ndugu zangu kiukweli serikali sio sikivu kabisa, kama wangeliwalipa madaktari stahili zao na kuwaacha kwenye vituo vyao na kuwaomba msamaha hivi tusingekua tunaendelea na mjadala huu na hata sauti ya mbunge huyu ingeishia moyoni mwake.
Lakini serikali yetu imekuwa ikifanya kazi kwa visasi na kukomeshana na hapa ndipo matatizo huanzia. Hivi kulikua na haja gani ya kuwahamisha hao madaktari? Au ni kwasababu wametudai posho yao ngoja tuwakomoe. Hao ni madaktari wanafunzi na muhimbili inavifaa vingi ktk taifa hili, hivyo mngewaacha hapo wajinoe vilivyo ili tupate madaktari wazuri.
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII inatakiwa muwajibike kwa hili.
Mkuu,
Wengi tunafanya kazi serikalini lakini hatuna visasi wala dharau.nimechoka kusikia serikali ina tatizo,sio kweli kuna watu wachache sana serikalini wanaharibu nchi hii,nasema wachache sana na wanatakiwa kushughulikiwa otherwise serikali yote itaingia matatani na wananchi wake.
Tufike sehemu tuache kulaumu system ambayo ina waadilifu wa kutosha,tuwaisolate wale wachache wenye viburi vya madaraka.