Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!



Swali , ni je yule secretary aliumwa kwa muda gani , then tutajua Dr yupo katika kundi gani ...
Ila so far, uwezekano wa Dr kupona ni mkubwa
 

Unamwamini kwa lipi huyo rais , mbona na yeye ni mtuhumiwa tu katika hii kesi Dr. Mwakyembe
 
Wana Kyela mpaka sasa wanamlaumu sana Mbunge wao, maana toka wakti wa uchaguzi waliishamwambia ahamie CDm lakini aling'ang'ania CCm. Nafikiri sasa baada ya kumnanga amejifunza kitu, hatimaye atasikiliza ushauri wa wazee. Kyela hawataki kbs kusikia CCm maana kwao hawaoni tafauti na muuaji.
jAMANI MAOMBI NI YA KILA MTU ILA THREAD HII NI KUWA WATU WA KYELA WANASEMAJE?CCM NI WAUWAJI BADO WANAAMINI CCM
 
I stand strong to say Dr Mwakyembe is a foolish,

Kutokana na sakata hili Mwakyembe ni msomi asiyetumia elimu yake. Kwa mfano kama wewe ni waziri usiyeweza kuaminiana na mawaziri wenzako pamoja na yule aliyekuteua kuwa waziri nani mwingine unayeweza kumwamini?

Dr alikuwa na nafasi ya kwanza kuhusu richmond alivyokuwa bunguni, kwamaana alitakiwa kusema kila kitu na hakuna yeyote angelimfanya kitu, lakini baada ya kuficha yakampata yaliyompata.

Bado akapata second chance ya kuongea yote baada ya Manumba kujichanganya lakini hakuitumia na yatakayompata sasa baada ya kutokuitumia hiyo chance yatakuwa makubwa.

kwangu binafsi siwezi kum-onea huruma mtu asiyejihurumia.
Dr inabidi ajihurumie mwenyewe kwanza.
 
Unajuwa ukiijuwa kweli utawekwa huru. Nilazima ujuwe maana ya kiongoz ktk Kibiblia.. Rais anahaki yakulindwa 100%. K.
Lakini Watanzania tu wepesi wa kusahau mambo.Katika hili mimi bado nakumbuka kauli ya Mwakyembe wakati anaongea Bungeni kwamba kuna mambo hakuyasema kwenye ripoti ya tume aliyoongoza kuhusu suala la Richmond.Kwa mtu makini katika kuhisi ni nani mshirika wa genge hili la kumuangamiza Mwakyembe huwezi kuacha hisia zako zianzie hapo.
 
bora afe tu ili tuone nn kitatokea,natamani afe ili tulianzishe na je tuone kha huyo mnaemwita EL ataenda pande hizo kwani huko ndiko kuna makanisa mengi,
 
bora afe tu ili tuone nn kitatokea,natamani afe ili tulianzishe na je tuone kha huyo mnaemwita EL ataenda pande hizo kwani huko ndiko kuna makanisa mengi,

Jamani huyu EL tumsusie kwenye makanisa anamopita kujinadi tusimkubali ni muuaji huyu bwana
 
Wakuu Mwakyembe haponi. Sumu za serikali huwa hazitibiki. Ila ninachoamini hata mzee wa monduli afya yake ni tete pia. Chaguzi ndogo bado nyingi sana kabla ya 2015 na Kyela na Monduli possibly tutakuwa nazo. Nisamehewe kama nawakwaza ila mapambano ya mafisadi na wanaowapinga ni magumu sana na lazima kila kundi lipoteze baadhi ya wanajeshi wao. ndo vita hiyo
 
View attachment 47825

Swali , ni je yule secretary aliumwa kwa muda gani , then tutajua Dr yupo katika kundi gani ...
Ila so far, uwezekano wa Dr kupona ni mkubwa

Kwa ule unga anaokoboa na kusaga sioni akipona kabisa. kama sumu alipewa na mafisadi na ndio wanamtibu India, jamani si ni kiini macho hiki?? Wana Kyela anzeni kunadaa mbunge mpya
 
Hang over ya jana (Kibuku), sijaona ukitoa uthibitisho. Nilijua unakuja na recommendation za daktari kumbe unakuja na habari za kufikirika bwana. Muwe mnakunywa vikata pombe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…