nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,449
- 2,305
Mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM Dr .George Kahangwa, ameipa daraja la "C" sera mpya ya elimu nakushauri muda bado upo ikaboreshwe upya.
Dr Kahangwa ameyasema hayo katika kipindi cha kipima joto ITV kuanzia saa 21:00-23:00 leo tarehe 20.02.2015
Unakaribishwa kuchangia na kutoa mapendekezo mapya.
Ndio sifa ya kuwa mwalimu UDSM hakuna kutoa A, hata angetunga yeye bado wenzie wangemgonga C tu. Ila mie siamini kama bado their the best kutokana na namna wanavyojikubali zaidi wao na kinacho mchanganya zaidi ni theory na practice. Ndio maana wachumi waliweka assumption ili mambo yaende. Kuna ambayo yuko sawa lakini kwa namna ya C bado yuko accademician zaidi kama watu wasingejiongeza kidogo mpaka leo chuo kingekuwa UDSM tu. Walimu wa namna yake bado hawajakubali kama na wao ni chanzo cha matatizo ya watz, ila ningeshangaa kama angesema tofauti. Mijadala ya council chamber ndio hiko hivyo, kuna wakati unaambiwa nenda kaandike upya au major review sababu ambayo hata editing ingetatua.
hao akina kuhangwa ndio walewale akina wapinga maendeleo
hao akina kuhangwa ndio walewale akina wapinga maendeleo
Nafikiri wewe utakua ndo yule bwana Mlingo uliyekuwa ukiongea mambo usiyoyafahamu kwa ujasiri mkubwa! ha ha ha ha
Ndio sifa ya kuwa mwalimu UDSM hakuna kutoa A, hata angetunga yeye bado wenzie wangemgonga C tu. Ila mie siamini kama bado their the best kutokana na namna wanavyojikubali zaidi wao na kinacho mchanganya zaidi ni theory na practice. Ndio maana wachumi waliweka assumption ili mambo yaende. Kuna ambayo yuko sawa lakini kwa namna ya C bado yuko accademician zaidi kama watu wasingejiongeza kidogo mpaka leo chuo kingekuwa UDSM tu. Walimu wa namna yake bado hawajakubali kama na wao ni chanzo cha matatizo ya watz, ila ningeshangaa kama angesema tofauti. Mijadala ya council chamber ndio hiko hivyo, kuna wakati unaambiwa nenda kaandike upya au major review sababu ambayo hata editing ingetatua.
Hahahaha!! Kama umempatia utakuwa mganga wa kienyeji.
Jamaa alikua anajitutumua hasa halafu wenzie walitulia tu wanamchora!!!
Aisee kuna watu majasiri sijawahi ona yaani bwana Mlingo alikua anaongea vitu asivyoelewa wala kuwa na ujuzi navyo kwa ujasiri mkubwa!!!
Reasoning capacity yake ni very poor!!!
Issue ya Elimu yetu kujumuisha Knowledge, attitude na competence kama sera ya sasa inavyosema haijaeleweka kabisa kwa wengine mkuu!
Kweli tupu. Jamaa alikuwa anapata tabu sana huku akitumia nguvu nyingi kisiasa kujenga hoja wakati wenzake wakichambua sera mstari kwa mstari.
Kuna jamaa alikuwa anabwata kisiasa zaidi.eti ndiye mshiriki wa kutunga hiyo sera.