Dr. EDMUND SENGONDO MVUNGI: Baba, Mwalimu, Mtetezi!

Dr. EDMUND SENGONDO MVUNGI: Baba, Mwalimu, Mtetezi!

LENGEJU BOB

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
53
Reaction score
31
Mwanamageuzi wa kweli,
Mwanaharakati mahiri
Mwanazuoni uliyebobea!

Umekufa kazini,
Ukisimamia mabadiliko yakini.
Umeondoka wakati ambapo mchango wako bado unahitajika sana.

Binafsi siko tayari kukubali kwamba umetutoka.
Najua kifo ni mepenzi ya Mola
Lakini kwa wewe wamekuwahisha sana. Tanzania bado ilikuhitaji sana.

Kwa umasikitiko makubwa
Umeuawa na watu uliowapenda
Umeondoshwa na watu uliowapigania!...

Umevipita vita vilivyo vizuri,
Harakati umezilinda
Mwendo umeumaliza!

R.I.P my Hero!
 
Watu wema na wasio na roho za inda na husda ndiyo Mwenyezi Mungu huwachukua mapema,though hakuna fantasy way ya mtu kumrejea Mola wake ila ya Mvungi inaacha simanzi zaidi!
Ni mmoja kati ya watu waliopata kuishi,ambaye historia haitomsahau! R.I.P Dr. Sheria imepoteza bold icon!
 
You fought gallantly for this country's emancipation from tyranny; you played your part ,so long fallen hero! R.I.P Dr. Mvungi.
 
R.i.p dr mvungi,bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
 
Inasikitisha sana..

Inasikitisha mno hasa ukiangalia mazingira yaliyopelekea kifo cha huyu mpiganaji! RIP Dr. Mvungi na ni bahati mbaya sana kwamba umuhimu wako utaonekana zaidi baada ya kututoka.
 
Ni kawaida binadamu kummiminia sifa kem kem mtu akifariki, akiwa mzima ni kinyume chake.
 
Ma dr wa ukweli wanaondoka wanabaki ma dr vichaaa wanaoiongoza serikali. Cha kusikitisha ni kwamba hata waliosababisha kifo chake hawatajulikana, na kama watajulikana watakua ni washukiwa tu kama yule mkenya wetu!!!
So sad and unbelievable to loose dr Mvungi. Hakuna hata taarifa za awali kuhusu waliohusika zaidi ya wale waliokamatwa na gongo?? Najiuliza swali moja, tulikuwa tunatafuta gongo sio????!!!!!
 
RIP Dr. Sengondo Edmund Adrian Mvungi, mwalimu wangu, rafiki yangu, baba mpenzi...machozi hayaachi kutiririka. Hatuwezi kubadili yaliyopita lakini tunaweza kutengeneza yajayo. Tulikupenda sana lakini Mungu amekupenda zaidi. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa mtu mwema kama wewe.
 
JOHN 9:33.If this man were not of God, he could do nothing.......RIP Dr Mvungi
 
Back
Top Bottom