Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

sasa we masaburi umeelemewa mpaka unakuja kujipost humu?kweli ww uende bungeni?hivi unawaona wanaubungo ni mabwege sana?subili uone kipigo ndo utajua kwamba watu wana akili kuliko ww.Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.
Sijui mtaambiwaje muelewe. Ubungo ni chadema na chadema ni ubungo