Kwani what is the beef btw Obama na west .maana sasa imegeuka kuwa crusade ya west na smiley kumdestroy obama.Cornel anasema " Obama sio black ni interracial president .Amekasirika huyo uwiiii walikuwa CNN.swali langu wanatatizo gani ?Obama ameshawaomba waseme shida Yao Belafonte akajibu " shida gani ?