Nini faida ya hizi "Regional Groupings" kwa wananchi wa mataifa hayo kwa sababu ukitaka kusafiri lazima uwe na pasipoti ya kusafiria, kupata ajira kwenye nchi nyingine hakuna.
Ukiagiza bidhaa kutoka nchi yoyote mwanachama lazima ulipie ushuru. Jumuiya hizi hazina kabisa faida kwa wananchi, watawala wanapiga siasa tu, hamna lolote.