DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

Kwani Congo wana ng'ombe??
Na wao wangewaambia wakenya ni maskini hawana sokwe au migodi au Makundi yenye silaha ya kusimamiwa Amani na UN.
Mbona simple Tu, halafu eti tunaitana marafiki East African CommunityπŸ˜†πŸ˜
 
njo nina mu suti zaidi ya mia mbili, yule jamaa hanaga haterπŸ˜…πŸ˜… maisha anayachukulia easy sana
Kabisa mkuu yani mimi namkubali sana kama kuna mtu anamchukia basi haendi mbinguni. Yani jamaa yeye life easy kwake yuko positive kwa kila kitu.
 
duh ila kama kuna ukweli fulani bwana Ruto ameongea
 
kuna ngoma ameitwa na ndanda kossovo Nyoshi el sadat sauti ya simbaπŸ˜… afu kakaimba kwa sauti ndogo
πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti sauti ya simba akaimba kwa sauti ndogo.
Jamaa yangu flani ni muwest afrika, aliniambia afadhali ya wacongo, wao wakija hapa ni mziki na kulelewa na majimama sio matapeli kama wao wawest, ndio maana hata serikali haina shida nao sana wanaishi kama wakk kwao.
 
wa west si ndio wanaija hao ? leo nimeona picha wamedakwa saudia wamepaka make up na kuvaa hijab inaonekana walitaka kufanya utapeli,wacongo wana enjoy hapa mimi natamani kuishi kinshasa
 


Hakuna watu wenye majivuno na dharau kama Kenyans. That is what characterises tribalisms.
 
Ruto ni tatizo sasa DRC hawana Ng'ombe hata mmoja?
 
wa west si ndio wanaija hao ? leo nimeona picha wamedakwa saudia wamepaka make up na kuvaa hijab inaonekana walitaka kufanya utapeli,wacongo wana enjoy hapa mimi natamani kuishi kinshasa
Ule raha kama. Fally Pupa. Yes wanaija, wacameroon. Wale hatari wezi wezi wengi wao.
Kwa saudia watapata cha moto
 
Ule raha kama. Fally Pupa. Yes wanaija, wacameroon. Wale hatari wezi wezi wengi wao.
Kwa saudia watapata cha moto
kina fally wana enjoy sana kinshasa pale,hii ni dream kubwa sana,mimi ningekuwa Dar ningekuwa nahudhuria sana show za kina nyoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…