Wakuu,
lets not be quick to throw laurels at this guy maana
hata kama kawafuta, je akiwa-replace na washkaji zake
au jamaa za kabila lao?..Uozo utakua pale pale.
Let time sort this thing out.
point noted..............however at least itasaidia watu kuanza kuwa na succession programs.......hapa nyumbani hili ni tatizo kubwa.........watu wanadanganya sana sana umri wao.......hebu msome Mkuu Kibiongo utaelewa........watu wengine wanafikri wao wameumbwa ili kuwa kiongozi maisha.......damn!
anyway lets give the boy...........benefit of doubt
Wakuu,
lets not be quick to throw laurels at this guy maana
hata kama kawafuta, je akiwa-replace na washkaji zake
au jamaa za kabila lao?..Uozo utakua pale pale.
Let time sort this thing out.
Na kama mnakumbuka, jamaa alisoma Zanaki Jioni ya wakati ulee. Mzaramo huyu.
Nasikia kuna jamaa zake wa pale Tangi bovu na Ubungo Flat, (Majina ninayo) amesha wapa ulaji.
Hiui ndio raha ya kuwa na Rais aliyekuwa anacheza mpira wa mchangani.