DR CONGO: Kabila aahidi Uchaguzi Mkuu kufanyika Desemba 2018

DR CONGO: Kabila aahidi Uchaguzi Mkuu kufanyika Desemba 2018

Zurie

Platinum Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,089
Reaction score
5,966
Rais wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Desemba.

Amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
 
Back
Top Bottom