Dr Bilal na ufisadi

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Akihutubia taifa ktk mkesha wa mwaka mpya alitoa tamko kuwa viongozi mafisadi wanaotafuna mali ya umma nchini hawana sifa ya kuongoza na wanapaswa kujiuzulu,je hoja hii ina mashiko yoyote?isitoshe mafisadi wanajulika hata kwa majina na bado wapo madarakani,tutafika?happy new year
 
Wanasiasa wanatufanya sisi wananchi wote kama watoto wadogo, wakijiuzuru atabaki nani kwenye serikali yao?
 
Katumwa kutuzuga watanzania maana hata huko serikalini wanajua watanzania wa sasa wanavyochukia ufisadi, yote hii ili waonekane wapo siriasi against ufisadi kumbe hamna lolote.
 
Mafisadi ndio ndio walomwezesha hicho cheo chake. Usomi wake wa nyuklia haumsaidii lolote na werevu unazidi kumponyoka siku hadi siku.
 
Back
Top Bottom