kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 503
Mkenyaaa tena ??Ccm na serekali ya Magu mshukuruni sana yule jamaa Mkeny....a,mana ndie mwana mikakati.Hao wengine wanapokea tu mawazo yake.Jamaa Kichwa sanaa.
Mkenyaaa tena ??Ccm na serekali ya Magu mshukuruni sana yule jamaa Mkeny....a,mana ndie mwana mikakati.Hao wengine wanapokea tu mawazo yake.Jamaa Kichwa sanaa.
mtu unaandikaje uharo kama huu, hivi hapo umetoa point gani mkuu, Mengi katulia kimya hao watu wako na wanamgwaya wanataka ongee kwa lipi. likizo imeisha rudi shule mjini tuache watu wazimaNimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.
Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.
Siyo wachanga tu kisiasa hata CCM yenyewe hawaijui; kuna makada wamekulia humo humo kwenye uongozi wa chama tangu Chipukizi hadi leo sasa utawaambia nini mtu wa juzi unakuja wanakupokea.Bashiru na Polepole wachanga sana ktk siasa .
ccm akili kubwa iliyowazidi ujanja wenye chama ni boys2men baaasi........
lile kundi liliposambaratika ndio basi tena hawana option ya kutoka