Election 2020 Dr. Bashiru: Kuongoza maoni si tiketi kuteuliwa kugombea

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,292
Points
2,000

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,292 2,000
Naona sasa CCM iliyo ndani ya kaburi inakaribia kufukiwa rasmi na Hawa wajuaji wasiojua Siasa japo wengine wao ni wasomi wa sayansi ya Siasa!

Kijidaftali chenye majina ya wateule wa ubunge na udiwani kinaandaliwa maana Mwenye akili CCM ni mmoja tu, wengine ni mahamnazo maana hawawezi tena kuchagua watu sahihi isipokuwa malaika tuu ndio anaweza!

----
Dr. Bashiru: Kuongoza maoni si tiketi kuteuliwa kugombea

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amemaliza pumzi za wanachama waliojipanga kutumia fedha ili kushinda katika kura za maoni za ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Katika kuweka sawa jambo hilo, Dk. Bashiru amesema mchakato wa kuwapata wanachama watakaopeperusha bendera ya chama hicho, hautaangalia aliyeongoza kura za maoni.

Akizungumza katika mikutano yake na viongozi na wanachama CCM juzi wilayani Pangani na Muheza, alisema mchakato wa kumpata mgombea wa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi huo licha yakuanzia ngazi za kata na wilaya, kuna ngazi za uamuzi wamwisho.Bashiru ambaye aliwanyooshea vidole watia nia wa ubunge na udiwani ambao wameshaanza kujipitisha kwenye maeneo mbalimbali, alisema hatua hiyo haitawasaidia kwa kuwa majina yao yatachujwa mkoani na taifa ambako zitaangaliwa sifa zingine zaidi ya matokeo ya kura za maoni.

"Kura za maoni ni sehemu tu ya utaratibu, lakini si sifa mama kwamwombaji wa nafasi ya ubunge ama udiwani. Unaweza kuongoza kwa kuhonga wajumbe, mtu huyo hatufai kwa kuwa wajumbe hao si wapigakura.Kinachoangaliwa pamoja na mambo mengine ni kukubalika kwake kwawananchi ambao ndio watakaomchagua," alisema.

Pia alisema kama mwanachama aliyeongoza ni chaguo la wajumbe kwa maslahi yao binafsi, kikao cha mkoa au taifa kitarejesha jina la mtu mwingine atakayeonekana anakubalika kwa wananchi hata kamakatika mchakato wa kura za maoni za chama alipata sifuri.

Alisema lengo ni kukipunguzia mzigo chama wa kuwa na wagombea wasiokubalika kwa wapigakura ambao huwa chaguo la wajumbe waliohongwa na kwamba mizengwe hiyo imekigharimu chama ikiwamo kutumia nguvu kubwa kuwanadi baada ya wagombea wanaokubalika kwenda upande wa pili ambako wengi wao huibuka washindi.

Katibu mkuu huyo alihimiza uadilifu kwa viongozi wa chama katika mchakato mzima wa kuteua wagombea na kuwataka kutoa kipaumbele kwa maslahi ya taifa badala ya kuangalia maslahi binafsi.

Chanzo: Nipashe
 
kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
4,688
Points
2,000

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
4,688 2,000
Mbona huu ni mfumo wa dahali na dahali ndani ya SSM. Ndio Mana chama hiki kina makundi na wateule wwngi wanateuliwa Kulingana na upande wa kundi lenye nguvu. Inaonekana hukijui hiki chama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
1,292
Points
2,000

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
1,292 2,000
Kwa njia hiyo CCM inawahahakishia watanzania kuwaletea wenye sifa, uwezo za uongozi. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna baadhi walikuwa wanaongoza kura za maoni kwa kutoa hongo mbalimbali ila Sasa ukibainika utakosa nafasi.

Ninaamini , uchaguzi wa mwaka huu ndio uchaguzi utakaotoa nafasi sawa kwa wagombea bilà kujali ukubwa au udogo wake na ndipo hapo ile dhanà ya CCM ni ya wote itakapoeleweka zaidi.
 
Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
35,178
Points
2,000

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
35,178 2,000
Hahahahaah aiseeee ndio ulichoamua kukiandika hapa! Kwahio miaka yote mlikua mnaleta watu ambao hawakua na uwezo? Kwahio waliokua wameweka huo mfumo hawakua na akili?
Kwa njia hiyo CCM inawahahakishia watanzania kuwaletea wenye sifa, uwezo za uongozi. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna baadhi walikuwa wanaongoza kura za maoni kwa kutoa hongo mbalimbali ila Sasa ukibainika utakosa nafasi.

Ninaamini , uchaguzi wa mwaka huu ndio uchaguzi utakaotoa nafasi sawa kwa wagombea bilà kujali ukubwa au udogo wake na ndipo hapo ile dhanà ya CCM ni ya wote itakapoeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
6,030
Points
2,000

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
6,030 2,000
Naona sasa CCM iliyo ndani ya kaburi inakaribia kufukiwa rasmi na Hawa wajuaji wasiojua Siasa japo wengine wao ni wasomi wa sayansi ya Siasa!

Kijidaftali chenye majina ya wateule wa ubunge na udiwani kinaandaliwa maana Mwenye akili CCM ni mmoja tu, wengine ni mahamnazo maana hawawezi tena kuchagua watu sahihi isipokuwa malaika tuu ndio anaweza!

----
Dr. Bashiru: Kuongoza maoni si tiketi kuteuliwa kugombea

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amemaliza pumzi za wanachama waliojipanga kutumia fedha ili kushinda katika kura za maoni za ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Katika kuweka sawa jambo hilo, Dk. Bashiru amesema mchakato wa kuwapata wanachama watakaopeperusha bendera ya chama hicho, hautaangalia aliyeongoza kura za maoni.

Akizungumza katika mikutano yake na viongozi na wanachama CCM juzi wilayani Pangani na Muheza, alisema mchakato wa kumpata mgombea wa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi huo licha yakuanzia ngazi za kata na wilaya, kuna ngazi za uamuzi wamwisho.Bashiru ambaye aliwanyooshea vidole watia nia wa ubunge na udiwani ambao wameshaanza kujipitisha kwenye maeneo mbalimbali, alisema hatua hiyo haitawasaidia kwa kuwa majina yao yatachujwa mkoani na taifa ambako zitaangaliwa sifa zingine zaidi ya matokeo ya kura za maoni.

"Kura za maoni ni sehemu tu ya utaratibu, lakini si sifa mama kwamwombaji wa nafasi ya ubunge ama udiwani. Unaweza kuongoza kwa kuhonga wajumbe, mtu huyo hatufai kwa kuwa wajumbe hao si wapigakura.Kinachoangaliwa pamoja na mambo mengine ni kukubalika kwake kwawananchi ambao ndio watakaomchagua," alisema.

Pia alisema kama mwanachama aliyeongoza ni chaguo la wajumbe kwa maslahi yao binafsi, kikao cha mkoa au taifa kitarejesha jina la mtu mwingine atakayeonekana anakubalika kwa wananchi hata kamakatika mchakato wa kura za maoni za chama alipata sifuri.

Alisema lengo ni kukipunguzia mzigo chama wa kuwa na wagombea wasiokubalika kwa wapigakura ambao huwa chaguo la wajumbe waliohongwa na kwamba mizengwe hiyo imekigharimu chama ikiwamo kutumia nguvu kubwa kuwanadi baada ya wagombea wanaokubalika kwenda upande wa pili ambako wengi wao huibuka washindi.

Katibu mkuu huyo alihimiza uadilifu kwa viongozi wa chama katika mchakato mzima wa kuteua wagombea na kuwataka kutoa kipaumbele kwa maslahi ya taifa badala ya kuangalia maslahi binafsi.

Chanzo: Nipashe
Taifa la wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
1,292
Points
2,000

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
1,292 2,000
Hahahahaah aiseeee ndio ulichoamua kukiandika hapa! Kwahio miaka yote mlikua mnaleta watu ambao hawakua na uwezo? Kwahio waliokua wameweka huo mfumo hawakua na akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la mfumo wa mwenye kura nyingi za maoni ndio mgombea lilikuwa ni zuri sana, kwa sababu:

1. Kipindi mfumo huo unawekwa au kuanzishwa hakukuwa na watu wengi wenye pesa hivyo kuziba mianya ya wenye pesa kuingiza watu wao au kuingia wao

2. Watu waliona rushwa ni adui wa haki kwelikweli na hawakuwa tayari kuchagua mtoa rushwa ndio kukaibuka ule msemo "kula kwa Fulani lakini kura mpatie Fulani" lakini muda ulivyozidi kwenda ikawa kinyume chake.

3. Mfumo huo umekuwa "compromised" kiasi kwamba wenye pesa wanaamini Wana uwezo wa kununua watu.

Katika kudhibiti Hilo ndio maana CCM imekuja na njia zifuatazo:

1. Kudhibiti idadi ya watu wanaopiga kura za maoni, hii itasaidia kupunguza idadi ya watu waliokuwa wanapewa kadi hata kama ni CHADEMA ili wakapige kura kwa ujira maalumu.

2. Kukata na kuondoa majina yote hata kamà wameshinda kura za màoni kama Kuna viashiria vya kutoa rushwa kwa wajumbe.

3. Mchàkato wa kupata wagombea unapitia Kwanza NEC na CC ili kuchuja màjina na màjina ya wagombea yanapopekwa wilayani au kata kupigiwa kura yanarudi tena CC ili kuangalia kweli anàfaa kabla ya kumpitisha.
 
ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Messages
1,185
Points
2,000

ryana fan

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2018
1,185 2,000
Naona sasa CCM iliyo ndani ya kaburi inakaribia kufukiwa rasmi na Hawa wajuaji wasiojua Siasa japo wengine wao ni wasomi wa sayansi ya Siasa!

Kijidaftali chenye majina ya wateule wa ubunge na udiwani kinaandaliwa maana Mwenye akili CCM ni mmoja tu, wengine ni mahamnazo maana hawawezi tena kuchagua watu sahihi isipokuwa malaika tuu ndio anaweza!

----
Dr. Bashiru: Kuongoza maoni si tiketi kuteuliwa kugombea

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amemaliza pumzi za wanachama waliojipanga kutumia fedha ili kushinda katika kura za maoni za ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Katika kuweka sawa jambo hilo, Dk. Bashiru amesema mchakato wa kuwapata wanachama watakaopeperusha bendera ya chama hicho, hautaangalia aliyeongoza kura za maoni.

Akizungumza katika mikutano yake na viongozi na wanachama CCM juzi wilayani Pangani na Muheza, alisema mchakato wa kumpata mgombea wa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi huo licha yakuanzia ngazi za kata na wilaya, kuna ngazi za uamuzi wamwisho.Bashiru ambaye aliwanyooshea vidole watia nia wa ubunge na udiwani ambao wameshaanza kujipitisha kwenye maeneo mbalimbali, alisema hatua hiyo haitawasaidia kwa kuwa majina yao yatachujwa mkoani na taifa ambako zitaangaliwa sifa zingine zaidi ya matokeo ya kura za maoni.

"Kura za maoni ni sehemu tu ya utaratibu, lakini si sifa mama kwamwombaji wa nafasi ya ubunge ama udiwani. Unaweza kuongoza kwa kuhonga wajumbe, mtu huyo hatufai kwa kuwa wajumbe hao si wapigakura.Kinachoangaliwa pamoja na mambo mengine ni kukubalika kwake kwawananchi ambao ndio watakaomchagua," alisema.

Pia alisema kama mwanachama aliyeongoza ni chaguo la wajumbe kwa maslahi yao binafsi, kikao cha mkoa au taifa kitarejesha jina la mtu mwingine atakayeonekana anakubalika kwa wananchi hata kamakatika mchakato wa kura za maoni za chama alipata sifuri.

Alisema lengo ni kukipunguzia mzigo chama wa kuwa na wagombea wasiokubalika kwa wapigakura ambao huwa chaguo la wajumbe waliohongwa na kwamba mizengwe hiyo imekigharimu chama ikiwamo kutumia nguvu kubwa kuwanadi baada ya wagombea wanaokubalika kwenda upande wa pili ambako wengi wao huibuka washindi.

Katibu mkuu huyo alihimiza uadilifu kwa viongozi wa chama katika mchakato mzima wa kuteua wagombea na kuwataka kutoa kipaumbele kwa maslahi ya taifa badala ya kuangalia maslahi binafsi.

Chanzo: Nipashe
Mkuu mbona ameeleza vizuri tu. Kwann utumie Rushwa au maana ya hongo hujui?. Kwenu kule kumbe mnatumia hongo kuwapitisha wagombea?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
THE BREED

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Messages
895
Points
1,000

THE BREED

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2019
895 1,000
Majina ya mfukoni hayo!!!ngoja tuone!NAMUONA ATHUMANI MFUTAKAMBA KWA MBAALI AKIPIGA JERAMBA!!MZEE WA TEN PERCENT ANATENGENEZA TIMU YAKE!!!
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,292
Points
2,000

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,292 2,000
Mkuu mbona ameeleza vizuri tu. Kwann utumie Rushwa au maana ya hongo hujui?. Kwenu kule kumbe mnatumia hongo kuwapitisha wagombea?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaelewa maana ya "mbinu tuliotumia kushinda uchafuzi wa serikali za mitaa" au unajiongelea tuu, kwani umemsikiliza vizuri akibwabwaja?

Call a spoon spoon mkuu, tumia akili zako kama unazo lakini! Huyo mtusi janga kwasasa!
 
Forum statistics

Threads 1,392,084
Members 528,535
Posts 34,097,865
Top