Dr Bashiru: Kulikuwa na vyama vinne katika CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,915
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Dr Bashiru amesema kulikuwa na vyama vinne katika CCM hali iliyopelekea itikadi yake kuwa katika wakati mgumu au majaribuni.

Chanzo: Raia Mwema!
 
Endeleeni tu!
25:75
Hii laana haitawaacha!
tapatalk_1542905857981.jpeg
 
Hapana ni mbele ya wananchi!

Sio kwa ridhaa yao, labda kwa kutumia cheo cha rais kuiagiza tume ya uchaguzi kutangaza mshindi wa ccm, na wananchi wakija juu JWTZ itatumikishwa kupambana na wananchi kwa maslahi ya mkulu.
 
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Dr Bashiru amesema kulikuwa na vyama vinne katika CCM hali iliyopelekea itikadi yake kuwa katika wakati mgumu au majaribuni.

Chanzo: Raia Mwema!
Sahv vipo vingapi? Nadhani vitakua vimeongezeka akidhania vimepungua anajiongopea
 
Back
Top Bottom