Dr bashiru amjibu lowassa kiume

Dr bashiru amjibu lowassa kiume

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,511
Reaction score
6,888
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemjibu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amedai anaona kama nchi ina hofu na chuki miongoni mwa baadhi ya wananchi wake.

Hayo yamesemwa leo leo Ijumaa, Oktoba 12, 2018 wakati wa Mdahalo wa Wazi wa Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasomi, wanasiasa, wanazuoni na wataalam wa masuala ya siasa kutoka ndani na nje ya nchi.

“Mjumbe wa Kamati Kuu amesema habari ya hofu ni kweli, wezi wa mali za umma, wakwepa kodi, matapeli wa kisiasa, walionunua mashirika ya umma bila kuyaendeleza, walioingia kwenye mikataba ya kutuibia mali, madalali lazima wataishi na hofu.

“Watu wenye midomo mirefu, wanaingia kwenye mitandao wa kijamii na kuanza kuwatisha wananchi…wanawapandikizia hofu zao wakidai ni hofu za nchi nzima… hofu zao zinazotokana na uporaji wa mali za wananchi, tutawafuata huko huko hata kama wakikimbilia katika siasa.

“Wakianza kusambaza hofu zao na kuziingiza kwa wananchi tusikubali, hofu za wananchi ni maji safi, ni Elimu bora, haki Mahakamani, ni haki ya Ardhi yao, ni tija ya uzalishaji wao na mapato ya jasho lao ya haki. Ziko hofu za kuchonga, watu wana midomo mirefu mipana, wanaingia kwenye mitandao ya kijamii kutisha wananchi wakati wanahofu zao halisi.

Bashiru amesema suala la usalama lijadiliwe kwa umakini wa aina yake kwa kuangalia muktadha wa dunia ulivyo na kutowakatisha tamaa vijana ambao wanalinda usiku na mchana tena kwa ujira mdogo.

“Mimi ninao vijana ndani ya CCM na CHADEMA wewe utakuwa nao, imekuwa nadra katika ushindani kukaa kusalimiana na kupendana, wanafukuzana unafikiri sio wa nchi moja halafu polisi wawaache, watoboane macho itakuwa ni kutowajibika.

“Wanasiasa msiruhusu mabeberu kuendesha vyama venu, ruhusuni vyama vyenu viendeshe na wananchi… tukiwaruhusu mabeberu itafika kipindi wataanza kutuelekeza nini cha kufanya. Kama tajiri ataleta fedha, basi azilete akiwa na mikono misafi.

“Tangu nimeingia CCM nimekuta mambo ya ajabu, hatuzungumzi lugha moja, lakini kwa sasa tutasimamia Azimio la Arusha… na asiyetaka aondoke aende vyama vingine kama wengine wanavyokuja CCM.

“Mimi kama Katibu Mkuu nitapigia debe bajeti za serikali kwenye vyuo vyetu vikuu vya umma ili vifanye kazi ya kukuza maarifa, vizalishe wasomi watakao tusaidia kutukomboa kifikra na kimaendeleo. Hii ndio namna ya kuiponya nchi yetu, mijadala itatufanya tujisahihishe, tumekosea sana katika nchi hii, tumepotea sana katika nchi hii na mbaya zaidi tumeanza kuogopa kusema ukweli,” alisema Bashiru.
 
Ndio maana sisiemu itatawala milele wana vichwa na wasomi makini... wakati wenzao wakilia lia na kulalamika na kutafuta makosa au maneno yaliyosemwa na viongozi wapate pa kusemea cheki wanavojibiwa kisomi na kiume
 
Dr. Bashiru umekuwa muwazi nasema songa mbele bila woga okoa chama kuondoa wrote wasiokitakia mema chama NA kuwapasha wale kupandikiza chuki zisizokuwa na Tina ila kutaka kupakazia serikali ionekane mbaya. Dr songa mbele bila woga.
 
Lazima itawale, maana ktk kila wa Tanzania wanne,watatu machizi.bashite,sizonje,polepole,bashiri
 
Azimio la Arusha tena?! Hizi sarakasi sijui zitaisha lini. Aliyelianzisha hilo azimio alishakiri kuwa limeshakufa.
 
kweli nimeamini mbakaji hata ashikwe red handed na chupi mkononi atakataa katakata hakubaka.

ndiyo hawa CCM sasa - wameibaka nchi miaka yote lakini sasa wanaruka kimanga.
 
Ukishangaa ya polepole utayaona ya bashiru ali, ila kusema na kupaaza sauti ni muhimu
 
Dr. Bashiru umekuwa muwazi nasema songa mbele bila woga okoa chama kuondoa wrote wasiokitakia mema chama NA kuwapasha wale kupandikiza chuki zisizokuwa na Tina ila kutaka kupakazia serikali ionekane mbaya. Dr songa mbele bila woga.
Kwako chama ni bora kuliko nchi!!
Chama kiokolewe ili tupate nini?
Ideology ya chama kwa sasa ni kujilimbikizia mimali na kutawala milele!!
Walahi unatuhimiza tutawaliwe milele?
 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemjibu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amedai anaona kama nchi ina hofu na chuki miongoni mwa baadhi ya wananchi wake.

Hayo yamesemwa leo leo Ijumaa, Oktoba 12, 2018 wakati wa Mdahalo wa Wazi wa Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasomi, wanasiasa, wanazuoni na wataalam wa masuala ya siasa kutoka ndani na nje ya nchi.

“Mjumbe wa Kamati Kuu amesema habari ya hofu ni kweli, wezi wa mali za umma, wakwepa kodi, matapeli wa kisiasa, walionunua mashirika ya umma bila kuyaendeleza, walioingia kwenye mikataba ya kutuibia mali, madalali lazima wataishi na hofu.

“Watu wenye midomo mirefu, wanaingia kwenye mitandao wa kijamii na kuanza kuwatisha wananchi…wanawapandikizia hofu zao wakidai ni hofu za nchi nzima… hofu zao zinazotokana na uporaji wa mali za wananchi, tutawafuata huko huko hata kama wakikimbilia katika siasa.

“Wakianza kusambaza hofu zao na kuziingiza kwa wananchi tusikubali, hofu za wananchi ni maji safi, ni Elimu bora, haki Mahakamani, ni haki ya Ardhi yao, ni tija ya uzalishaji wao na mapato ya jasho lao ya haki. Ziko hofu za kuchonga, watu wana midomo mirefu mipana, wanaingia kwenye mitandao ya kijamii kutisha wananchi wakati wanahofu zao halisi.

Bashiru amesema suala la usalama lijadiliwe kwa umakini wa aina yake kwa kuangalia muktadha wa dunia ulivyo na kutowakatisha tamaa vijana ambao wanalinda usiku na mchana tena kwa ujira mdogo.

“Mimi ninao vijana ndani ya CCM na CHADEMA wewe utakuwa nao, imekuwa nadra katika ushindani kukaa kusalimiana na kupendana, wanafukuzana unafikiri sio wa nchi moja halafu polisi wawaache, watoboane macho itakuwa ni kutowajibika.

“Wanasiasa msiruhusu mabeberu kuendesha vyama venu, ruhusuni vyama vyenu viendeshe na wananchi… tukiwaruhusu mabeberu itafika kipindi wataanza kutuelekeza nini cha kufanya. Kama tajiri ataleta fedha, basi azilete akiwa na mikono misafi.

“Tangu nimeingia CCM nimekuta mambo ya ajabu, hatuzungumzi lugha moja, lakini kwa sasa tutasimamia Azimio la Arusha… na asiyetaka aondoke aende vyama vingine kama wengine wanavyokuja CCM.

“Mimi kama Katibu Mkuu nitapigia debe bajeti za serikali kwenye vyuo vyetu vikuu vya umma ili vifanye kazi ya kukuza maarifa, vizalishe wasomi watakao tusaidia kutukomboa kifikra na kimaendeleo. Hii ndio namna ya kuiponya nchi yetu, mijadala itatufanya tujisahihishe, tumekosea sana katika nchi hii, tumepotea sana katika nchi hii na mbaya zaidi tumeanza kuogopa kusema ukweli,” alisema Bashiru.
Amejibu vizuri hasa kwenye kuficha hofu yako halisi na kutengeneza hofu fake kwa wananchi, ila pamoja na yote ccm ni ile ile
 
Kaongea vizuri sana 947089556-1024x1024.jpg
 
Ndio maana sisiemu itatawala milele wana vichwa na wasomi makini... wakati wenzao wakilia lia na kulalamika na kutafuta makosa au maneno yaliyosemwa na viongozi wapate pa kusemea cheki wanavojibiwa kisomi na kiume
Neno
 
Kwako chama ni bora kuliko nchi!!
Chama kiokolewe ili tupate nini?
Ideology ya chama kwa sasa ni kujilimbikizia mimali na kutawala milele!!
Walahi unatuhimiza tutawaliwe milele?
CCM ni ya milele hilo halipingiki walahi
Vyama vya matukio nani ana mda navyo?
 
mm sijaona lolote hapo.huyu jamaa bdo akili yake ni ile ile yakukariri karne hi unazungumza ujamaa ulioshndwa na nyerere.mataifa makubwa km urusi ujerumani wameshndwa yy ndyo atauweza.ccm enyewe inaendeshwa kibepari,upuuuzi upuzi
 
Back
Top Bottom