GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Chadomo wakiwa kwenye mkutano wa kuomba kura 2015 kule kaskazini.
CCM ndicho chama kilipata kura nyingi, na ndiyo maana JPM akatangazwa mshindi kwa mujibu was Katiba.
Akaunda serikali kuu ambayo inasimamia ofisi na shughuli zote za nchi.
Hakuna chama kingine kilichounda serikali.
Kama kipo, kitaje.
Pamoja na mbwembwe zao zote zakuongoza nchii hii toka uhuru ila nchi bado iko kwenye lindi la umaskini,ujinga na maradhi yatokanayo na uchafu.Kwaiyo ata watoke wote maofisini bado uwezo wao ni mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
You're one of the greatest ' CERTIFIED FOOL ' on this platform.
Haka kakingereza kako ka Ugoko kamedhihilisha wewe ni juha kwa 100% na kama wewe ndiyo tegemezi la CCM kwenye utetezi mitandaoni ni Aibu kwa CCM kwani wamebuki kutegemea kilaza kama wewe uwatetee kwa mifano ya maana badala yake umekariri ujinga na kuja nao jf ukitaka watu wakukuballie ufala wako?
Ila sijamzidi ' Babaako ' Mzazi kwa huo Ufala pamoja na Ujinga.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na hapo ndipo nilitaka kupaona na kweli umedhihilisha mwenyewe.
Jipya lipi kwenye siasa? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali unataka mapya yapi? Wakati Wapinzani wote mmewabambikia kesi? Endelea kufanya makosa mapya utaona upinzani upya pia ingawa mnatumia udikteta kuwaziba midomo Wapinzani.MPWA UPINZANI WANAKAGUA SALARY SLIP NGAPI ZIMELIWA NGAPI ZIMEBAKI
AWANAJIPYA TENA
Upinzani aujafika Tanzania MKUUU pengine unapatakale karuzuku nakuhakikishia mpwa CCM aitoki Leo wala keshokutwa pale wamebakià wachumia ttumbo basiiiiJipya lipi kwenye siasa? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali unataka mapya yapi? Wakati Wapinzani wote mmewabambikia kesi? Endelea kufanya makosa mapya utaona upinzani upya pia ingawa mnatumia udikteta kuwaziba midomo Wapinzani.
hayana chama!!!! mbona wakati wa kampeni huwa mnaonesha miradi mlojenga? huku mkijinadi kuwa CCM ndo imejengaMaendeleo hayana chama.
tbc1 sio reliable source?Mkuu umeshindwa ata kuweka picha au reliable source ya habari yako, unaharaka gani mkuu?
Bado unakwepa hoja ya msingi...vyama vingine ndio visiendelee na shughuli za kisiasa kwasababu tu CCM imeunda serikali? Kama hivyo ndivyo, hiyo haki imetolewa kwenye katiba gani ya nchi yetu? Hii ni mara ya mwisho nakuuliza, na ukiendelea kuleta ujanja ujanja wako wa kiccm, nakuacha ili uendelee kula matango pori peke yako.
Huo ndiyo ushenzi wa ccm huyo Bashiru anakagua kwa ujuzi upi kama siyo kufanya siasa?Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv(TBC 1), namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.
Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.
Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.
Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kuliko sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
Mfano wa muendelezo wa evolution ni uzi huu wa kwako, unashindwa kuelewa kuwa katibu mkuu wa chama kilicho madarakani ni mmoja wa wasimamiaji wakuu wa sera zinazoongoza nchi.Evolution Africa haijawahi kufika mwisho.
Au wakafanye hizo mikutano, s wanasema katiba inawaruhusu?Umezidi kulialia ewe lofa la ufipa.
Nyuzi zote ni kulialia tu , si uolewe tu ukaugulie kwa mmeo
Sent using Jamii Forums mobile app