Dr. Bashiru Ally anakagua bandari huko ziwa Victoria na kutoa maelekezo, huku wapinzani hata mikutano ya ndani tu wanazuiwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv(TBC 1), namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.

Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.

Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.

Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kuliko sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
 
Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanfa ya ziwa kupitia tv, namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.

Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.

Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.

Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kulikp sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
Umezidi kulialia ewe lofa la ufipa.

Nyuzi zote ni kulialia tu , si uolewe tu ukaugulie kwa mmeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv, namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.

Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.

Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.

Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kulikp sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.

Je hao Wapinzania nao hasa hasa CHADEMA wangekuwa ndiyo wameshika ' dola / nchi ' wasingefanya hicho ambacho kinafanywa sasa na CCM pamoja na Serikali yake? Ukijibu wasingeweza nitaomba uniwekee na sababu zako Kuntu / Sahihi / Murua kabisa ili niridhike nazo. Nasubiri Mkuu.
 
Upewe sababu ili iweje, hata sababu zikitolewa kwa Wana lumumba ni kama kumpigia mbuzi gitaa. Lumumba wote hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hao Wapinzania nao hasa hasa CHADEMA wangekuwa ndiyo wameshika ' dola / nchi ' wasingefanya hicho ambacho kinafanywa sasa na CCM pamoja na Serikali yake? Ukijibu wasingeweza nitaomba uniwekee na sababu zako Kuntu / Sahihi / Murua kabisa ili niridhike nazo. Nasubiri Mkuu.
Sijui huwa unasimamia nini katika siasa za nchi hii?!!!!
 
49667063_625042934581711_897955916450627584_n.jpg
 
Serikali iliyopo madarakani ni kupitia CCM na inatekeleza ilani ya CCM na mwenye ilani hiyo ndo huyo Katibu wa Mkuu wa CCM mwenyekiti wake na wana CCM wote. Kwahiyo anachokifanya hapo ni kuangalia utekelezaji wa ilani ya chama chake kama inatekelezwa ipasavyo na Serikali. Hapo hakuna shida yoyote labda muondoe mambo ya ilani.
 
Back
Top Bottom