Dr. Bashiru Ally anakagua bandari huko ziwa Victoria na kutoa maelekezo, huku wapinzani hata mikutano ya ndani tu wanazuiwa

Mbona Kikwete hakufanya hivyo...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila zama na Kitabu chake na kama Wapinzani ' reference ' yenu Kubwa huwa ni kwa Rais Mstaafu Kikwete basi nawashaurini pelekeni maombi yenu Kwake ili ahamie Kwenu na awe Mgombea wenu kwa mwaka 2020 au 2025 kama ataweza na atakuwa tayari. Na mlivyo Wanafiki wakubwa ila wepesi wa Kusahau ni nyie nyie Wapinzani tena wa CHADEMA ndiyo mlikuwa kila uchao / siku mnaudhihaki na kuukosoa Utawala wa Kikwete huku mkimtukana Baba wa Watu ila kwakuwa aliwaelewa matatizo yenu akawa anawaapuuza tu ila kwa huyu Mwanamume wa Chato Yeye hawachekei na hana cha Kurembaremba na anawanyoosheni vizuri mno ndiyo maana sasa ni kama vile mmechanganyikiwa na hamjui mnataka nini mpo mpo mmebaki Kudandia Hoja za Kipumbavu / Kipopoma mkidhani zitawasaidia kuwajenga vyema Kisiasa.
 
49667063_625042934581711_897955916450627584_n.jpg
Chadomo wakiwa kwenye mkutano wa kuomba kura 2015 kule kaskazini.
 
CCM ndicho chama kilipata kura nyingi, na ndiyo maana JPM akatangazwa mshindi kwa mujibu was Katiba.

Akaunda serikali kuu ambayo inasimamia ofisi na shughuli zote za nchi.

Hakuna chama kingine kilichounda serikali.

Kama kipo, kitaje.

Bado unakwepa hoja ya msingi...vyama vingine ndio visiendelee na shughuli za kisiasa kwasababu tu CCM imeunda serikali? Kama hivyo ndivyo, hiyo haki imetolewa kwenye katiba gani ya nchi yetu? Hii ni mara ya mwisho nakuuliza, na ukiendelea kuleta ujanja ujanja wako wa kiccm, nakuacha ili uendelee kula matango pori peke yako.
 
Pamoja na mbwembwe zao zote zakuongoza nchii hii toka uhuru ila nchi bado iko kwenye lindi la umaskini,ujinga na maradhi yatokanayo na uchafu.Kwaiyo ata watoke wote maofisini bado uwezo wao ni mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vigumu Tanzania kuwa Nchi tajiri Duniani chini ya Utawala wa kidikteta toka CCM kwani pesa nyingi za maendeleo zinatumika kwa mambo yasiyo na Tija kwa Taifa, mfano kuwanunua madiwani, wabunge kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, kuwalipa Cyprian musiba na le mutuz kutengeneza propaganda za kijinga jinga nk pesa nyingi zinatumika kukandamiza demokrasia unyanyasaji kwa Wapinzani kuwapiga Risasi na mengineyo mengi.
 
You're one of the greatest ' CERTIFIED FOOL ' on this platform.

Haka kakingereza kako ka Ugoko kamedhihilisha wewe ni juha kwa 100% na kama wewe ndiyo tegemezi la CCM kwenye utetezi mitandaoni ni Aibu kwa CCM kwani wamebuki kutegemea kilaza kama wewe uwatetee kwa mifano ya maana badala yake umekariri ujinga na kuja nao jf ukitaka watu wakukuballie ufala wako?
 
Haka kakingereza kako ka Ugoko kamedhihilisha wewe ni juha kwa 100% na kama wewe ndiyo tegemezi la CCM kwenye utetezi mitandaoni ni Aibu kwa CCM kwani wamebuki kutegemea kilaza kama wewe uwatetee kwa mifano ya maana badala yake umekariri ujinga na kuja nao jf ukitaka watu wakukuballie ufala wako?

Ila sijamzidi ' Babaako ' Mzazi kwa huo Ufala pamoja na Ujinga.
 
Tatizo la CCM wamempa Tenda ya utetezi mitandaoni Le mutuz wakamlipa pesa nyingi kwa kazi ya kuajiri vijana wa kuwatetea lakini Le mutuz kala pesa na michepuko zimeisha ndipo akawaajiri vilaza na mbumbumbu kwa ajili ya kuwatetea CCM akiwalipa vicent kiduchu ndiyo maana utetezi kwa CCM ni wa kijinga jinga usio na hoja za maana.
 
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na hapo ndipo nilitaka kupaona na kweli umedhihilisha mwenyewe.

Wa aliyekubeba Tumboni mwake miezi Kenda / Tisa wake uwezo wake wa Kufikiri umeanza Kuimarika lini kutoka ule mbovu aliokuwa nao?
 
MPWA UPINZANI WANAKAGUA SALARY SLIP NGAPI ZIMELIWA NGAPI ZIMEBAKI

AWANAJIPYA TENA
 
MPWA UPINZANI WANAKAGUA SALARY SLIP NGAPI ZIMELIWA NGAPI ZIMEBAKI

AWANAJIPYA TENA
Jipya lipi kwenye siasa? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali unataka mapya yapi? Wakati Wapinzani wote mmewabambikia kesi? Endelea kufanya makosa mapya utaona upinzani upya pia ingawa mnatumia udikteta kuwaziba midomo Wapinzani.
 
Jipya lipi kwenye siasa? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali unataka mapya yapi? Wakati Wapinzani wote mmewabambikia kesi? Endelea kufanya makosa mapya utaona upinzani upya pia ingawa mnatumia udikteta kuwaziba midomo Wapinzani.
Upinzani aujafika Tanzania MKUUU pengine unapatakale karuzuku nakuhakikishia mpwa CCM aitoki Leo wala keshokutwa pale wamebakià wachumia ttumbo basiiii
 
Bado unakwepa hoja ya msingi...vyama vingine ndio visiendelee na shughuli za kisiasa kwasababu tu CCM imeunda serikali? Kama hivyo ndivyo, hiyo haki imetolewa kwenye katiba gani ya nchi yetu? Hii ni mara ya mwisho nakuuliza, na ukiendelea kuleta ujanja ujanja wako wa kiccm, nakuacha ili uendelee kula matango pori peke yako.

Shughuli za kisiasa zinaruhuziwa, ila kama kuna sababu za msingi za kuzuia, zinazuiliwa. Mfano, chadema kutaka maandamano wakati watu wanataka maendeleo siyo sawa.
 
Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv(TBC 1), namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.

Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.

Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.

Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kuliko sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
Huo ndiyo ushenzi wa ccm huyo Bashiru anakagua kwa ujuzi upi kama siyo kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evolution Africa haijawahi kufika mwisho.
Mfano wa muendelezo wa evolution ni uzi huu wa kwako, unashindwa kuelewa kuwa katibu mkuu wa chama kilicho madarakani ni mmoja wa wasimamiaji wakuu wa sera zinazoongoza nchi.

Analo jukumu la kuwafuatilia wabunge wa chama chake, pia analo jukumu la kuangalia muendelezo mzima wa sera.
 
Muogope sana mtu anayejifanya kumtajataja Mungu kila mara na wale walio mstari wa mbele kwenda kwenye nyumba za ibada.

Waogope sana hao watu hata Yesu aliwaona na akasema sio wale waniitao bwana bwana watakaouona ufalme wa Mungu, (Mathayo 7:21).
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom