Sijui huwa unasimamia nini katika siasa za nchi hii?!!!!
Mkuu achana nao wasikuharibie siku. Pamoja na buku saba sikuhizi hulishwa maharage, sijui ni aina gani masikini, huwafanya wavimbiwe balaa
Sijui huwa unasimamia nini katika siasa za nchi hii?!!!!
' Babaako ' kafanana nae zaidi.
CCM officially kinasimamia na Chadema officially kinakosoa maamuzi ya kijinga kama kwenye kikokotozi na kuiokoa nchi na wananchi, mikataba ya madini na mlivyopanga kwenye korosho.Bashiru ni kiongozi wa CCM.
CCM ni chama tawala.
Chama tawala kinasimamia ofisi za umma.
Bashiru ana haki na wajibu kusimamia ofisi za umma.
Chadema siyo chama tawala.
Chadema hakisimamii ofisi za umma zaidi ya kutafuna ruzuku za umma.
Kwa hiyo chadema acheni kutusumbua
Mkuu achana nao wasikuharibie siku. Pamoja na buku saba sikuhizi hulishwa maharage, sijui ni aina gani masikini, huwafanya wavimbiwe balaa
Jibu ni wangefanya lakini wasingezuia wengine kufanya kwa kuwa nchi ni ya kidemokrasia inayofuata mfuko wa vyama vingi.Je hao Wapinzania nao hasa hasa CHADEMA wangekuwa ndiyo wameshika ' dola / nchi ' wasingefanya hicho ambacho kinafanywa sasa na CCM pamoja na Serikali yake? Ukijibu wasingeweza nitaomba uniwekee na sababu zako Kuntu / Sahihi / Murua kabisa ili niridhike nazo. Nasubiri Mkuu.
Hawataweza kwa vile wewe umejibiwa hivyo,? Ana kweli wewe una elements za upumbavu (sijasema wewe ni mpumbavu maana hilo sina ushahidi)Sidhani kama hili ndilo jibu lenye mantiki na hoja nilikuwa nahitaji nijibiwe. Sasa nimeshajua ni kwanini CHADEMA hamtoweza Kamwe kuitawala Tanzania.
CCM officially kinasimamia na Chadema officially kinakosoa maamuzi ya kijinga kama kwenye kikokotozi na kuiokoa nchi na wananchi, mikataba ya madini na mlivyopanga kwenye korosho.
Yale mnayokubali ushauri mnafanikiwa na Yale ya ubishi wenu mnaishia kufedheheka na kutesa watu tuu kama korosho
Sasa ona yote Haya! Ndio maana Mzee baba kashtuka sasa anawakana anasema hataki kusikia neno maagizo kutoka juu. Jambo likienda vizuri sawa ni maagizo toka juu lakini wakichemka watajijua wenyeweKwenye korosho ndipo wameboronga sana, uhakiki Mashamba umejaa Rushwa na shamba moja linaweza kuhakikiwa mara 10-20 kuna vioja vingi na mashamba mengi yapo porini sana magari hayafiki wakulima wahuni wamelipwa mara mbilimbili licha ya hapo awali kuwa wamepokea malipo toka kwa wafanyabiashara huku wanajeshi wakianza kufanya Zinaa na wake za watu ndiyo maana Gari zao nyingi sana zimepata ajali za kutosha, Mtwara wamelaaniwa hawatafanikiwa kwa lolote mpaka wapige magoti kwa wafanyabiashara.
Halmashauri?
Kuongoza halmashauri haikipi chama hadhi ya kuwa chama tawala.
Kuwa chama tawala ni pamoja na kushika dola, kuongoza taasisi za ulinzi na usalama.
Sasa chadema kinasimamia taasisi gani ya usalama was nchi zaidi ya wale wanamgambo wa chadema?
Chama tawala cha udikteta sasa kinatawala kijeshi hakifuati katiba kinatawala kienyeji enyeji wanaccm wote wamekariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM hata kama fikra ni za kukandamiza demokrasiaKwahiyo wenye "hadhi ya chama tawala" ndio pekee wana haki ya kufanya siasa? Na kama hivyo ndivyo, nitajie kipengele kilichotoa haki hiyo kwenye katiba yetu (1977)??
Hoja ya msingi hapa ni haki ya vyama vingine kufanya siasa. Sasa naona unataka kujificha kwenye ligi ya maana ya neno "kutawala." Hiyo sio hoja kwa leo...
Kwahiyo wenye "hadhi ya chama tawala" ndio pekee wana haki ya kufanya siasa? Na kama hivyo ndivyo, nitajie kipengele kilichotoa haki hiyo kwenye katiba yetu (1977)??
Hoja ya msingi hapa ni haki ya vyama vingine kufanya siasa. Sasa naona unataka kujificha kwenye ligi ya maana ya neno "kutawala." Hiyo sio hoja kwa leo...
Bashiru ni kiongozi wa CCM.
CCM ni chama tawala.
Chama tawala kinasimamia ofisi za umma.
Bashiru ana haki na wajibu kusimamia ofisi za umma.
Chadema siyo chama tawala.
Chadema hakisimamii ofisi za umma zaidi ya kutafuna ruzuku za umma.
Kwa hiyo chadema acheni kutusumbua
Ama kweli hakuna mbafiki zaidi yako SS, maana ya mnafiki = msema uongo, mchonganishi, mfitinishi nk, na sifa zote za unafiki unazo wewe, michango yako hapa JF ni ushahidi kamili ya unafiki wako, nawe una dini.Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv, namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.
Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.
Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.
Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kuliko sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
Kibaraka wa yule shetani mkuu wewe!!Ama kweli hakuna mbafiki zaidi yako SS, maana ya mnafiki = msema uongo, mchonganishi, mfitinishi nk, na sifa zote za unafiki unazo wewe, michango yako hapa JF ni ushahidi kamili ya unafiki wako, nawe una dini.
Asiyekubali mazuri ya asiowapenda na kupinga mabaya yao ni mnafiki, pia anyefumbia mabaya ya awapendao na kuwasifia wasipostahili ni mnafiki. Yote hayo ni mabovu yako.
Pili wapagani ni wanadamu kama mimi na wewe, wacha ubaguzi, mashoga mnawaunga mkono , wapagani unawadharau.
WEWE NI MNAFIKI NUMBER 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sehemu fulani nimepumzika na hii habari ikwa inarushwa na TBC 1 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.Mkuu umeshindwa ata kuweka picha au reliable source ya habari yako, unaharaka gani mkuu?
Mkuu mnakariri maneno kama mazuzu, hilo neno tawala mnalipenda mpaka linawapa wazimu. Hakuna chama kinacho tawala, kwenye nchi ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi duniani.Mkuu ni chama kilichounda serekali, na serekali huongoza nchi kwa kushika hatamu za uongozi. Wanao weza kutawala nchi ni viongozi wa ki imla na kwa kawida hawachaguliwi kwa njia za ki demokrasia.Na wengine wnaoweza kutamba kuwa ni watawala ni ma diktaeta hawa huweza kuingia madarakani kwa nguvu au kwa kupigiwa kura lakini baadae huwageuka waliompigia kura kwa kukiuka katiba na kuongoza nchi kwa matakwa yao wenyewe.
Kwahiyo wenye "hadhi ya chama tawala" ndio pekee wana haki ya kufanya siasa? Na kama hivyo ndivyo, nitajie kipengele kilichotoa haki hiyo kwenye katiba yetu (1977)??
Hoja ya msingi hapa ni haki ya vyama vingine kufanya siasa. Sasa naona unataka kujificha kwenye ligi ya maana ya neno "kutawala." Hiyo sio hoja kwa leo...
Wewe ni kilaza na mbumbumbu namba moja nchini Tanzania kojoa ukalale, Sasa kama CCM ni chama tawala cha kijeshi kina vyombo vyote vyenye mabunduki iweje chama chenye vyombo vyenye kila kitu kuanza kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwapora ushindi kuwahujumu kuwadhoofisha kuwadhalisha Wapinzani ambao hawana vyombo vya Dola? wewe si chama tawala cha kidikteta si uruhusu mikutano ya siasa ujue Dhambi zako? Unaogopa nini? Unaficha nini? Acheni ushamba wa kolomije na chato.