Dr. Bashiru aliwahi kusema kitendo cha Dr. Slaa kuhama CHADEMA kilikuwa sawa na kukosa ujasiri

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,518
55,175
Msikilize kuanzia dakika 3:15.

Alipokuwa UDSM alikuwa akiwananga wanaohama vyama vyao.

Leo Dr. Bashiru ndiyo amekuwa mtetezi mkubwa wa wanaohama vyama huku kukiwa na mazingira ya RUSHWA.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom