Dr. Ashatu Kijaji, Hongera sana

Dr. Ashatu Kijaji, Hongera sana

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,569
Reaction score
16,017
Naibu waziri wa mipango, fedha na uchumi ni mchapa kazi, muadilifu, hana upendeleo na ni mtu makini sana ktk kazi zake. Nampongeza sana kwa huu uteuzi naamini watanzania tutafikia ukombozi wa kiuchumi kupitia uongozi wako na Dr. Maguful.
 
She is one of our countries treasure...

Mashine haswaa, na pia nampongeza sana mumewe, he is very supportive of his wife and a true gentleman indeed

I hope Mungu atawaongoza
 
Hata Meghji, Mgimwa(R.I.P) na yule wa mwisho wa Kikwete uliwasifia hivyo hivyo kilichotokea umekiona pale bandarini na ESCROW kwa hiyo mleta mada kuwa mpole usije umbuka siku zijazo
 
Unaweza kunipa historia yake kwa ufupi maana ndio kwanza nimemuona Leo .nami namuombea awakilishe vema maana ni wizara nyeti sana hiyo na nafikiri mh kazingatia uadilifu na uchapakazi
 
Unaweza kunipa historia yake kwa ufupi maana ndio kwanza nimemuona Leo .nami namuombea awakilishe vema maana ni wizara nyeti sana hiyo na nafikiri mh kazingatia uadilifu na uchapakazi

Google utaipata
 
Ni mzuri kwa academic insitutions kama huko anakofundisha..lakini hana uzoefu katika kusimamia watu kama wa wizara ya fedha na hasa tra
 
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui
 
kumbe kasoma DS,Sasa huko wizara ya fedha ataweza kweli?
 
kumbe kasoma DS,Sasa huko wizara ya fedha ataweza kweli?

Ni mchumi, mchumi na mtalaamu wa uongozi, biashara, uchumi wa kitaifa na kimataifa. Anaijua Tz na nje ya Tz.
 
Ni mzuri kwa academic insitutions kama huko anakofundisha..lakini hana uzoefu katika kusimamia watu kama wa wizara ya fedha na hasa tra
Nani kakudanganya?? Je Dr Magufuli alipata wapi uzoefu wa kuwa rais? Je baba yako alipata wapi uzoefu wa kuwa baba? Je mama yako alipata uzoefu wapi wa kuwa mama?? Acha unafiki, mimi namfahamu ni mtu mwenye weledi uliotukuka na ni moja ya tunu muhimu sana Kwa taifa. Ana upendo na ni mtu wa watu.
 
Aisee ninyi watu mbona na yule mama aliyeondoka mlimsifia, lipi alilofanya la maana zaidi ya ujinga tunaoushuhudia?
 
Nani kakudanganya?? Je Dr Magufuli alipata wapi uzoefu wa kuwa rais? Je baba yako alipata wapi uzoefu wa kuwa baba? Je mama yako alipata uzoefu wapi wa kuwa mama?? Acha unafiki, mimi namfahamu ni mtu mwenye weledi uliotukuka na ni moja ya tunu muhimu sana Kwa taifa. Ana upendo na ni mtu wa watu.

unauzoefu wa huko mwanzo
 
Naibu waziri wa mipango, fedha na uchumi ni mchapa kazi, muadilifu, hana upendeleo na ni mtu makini sana ktk kazi zake. Nampongeza sana kwa huu uteuzi naamini watanzania tutafikia ukombozi wa kiuchumi kupitia uongozi wako na Dr. Maguful.

Hayo umeyajulia wapi mkuu wakati ndo sasa kaingia kwenye siasa? navojua mimi alikuwa mhadhiri pale mzumbe ndo safari hii kaenda kugombea ubunge jimbo jipya na kuukwaa uwaziri moja kwa moja, so she is very new siasani, I stand to be corrected anyway!!
 
Back
Top Bottom