Dr. Asha-Rose Migiro kustaafu utumishi wa umma. Hongera Dr

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mnamo tarehe 9/7/2016,Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Mhadhiri Mwandamizi wa sheria-UDSM ,Dr. Asha-Rose Migiro amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.

Dr. Migiro amezaliwa tarehe 9/7/1956. Kuanzia tarehe 9 mwezi huu amefikisha umri wa miaka 60.Kwasasa,bado ni Balozi wetu huko Uingereza. Amekuwa na utumishi wa kutukuka ndani na nje ya Tanzania.Hongera dada Dr. Asha-Rose Migiro!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)[/QUOTE]
Kuna watu ambao serikali bado inawahitaji wanapewa special exemption.
 
Hongera sana Dr Rose.

Hata hivyo kuna haja sasa ya kuzifanyia marekebisho sheria za Utumishi wa Umma haswa katika kipengele cha Umri wa kustaafu!!!
 
Hawezi kuwa na uongozi uliotukuka kwenye serikali iliyojaa shutuma na iliyotizama sheria zikikiukwa huku akiwa waziri Wa sheria.
Mtoamada hapo kuna mawili,hujui maana ya uongozi uliotukuka ama u mnafiki...lapili linauhalisia kuliko lakwanza Pole Ila sijawa mnafiki kwako.
 
Huyo mama anavyopenda nafasi za kuteuliwa unadhani atastaafu leo, mbona hayo yatakuwa maajabu ya dunia
 

hana budi
awaachie wengine maana umri umemtupa sasa!
 
You must be Jokking.
 
utumishi wa kutukuka maana yake nini?mbna hakumaliza mihula miwili UN,,,naomba ufafanuzi wa hilo neno .. tukukaa...
 
wewe kada wa ccm chukua tu hiyo picha maana mmeishachukua mali nyingi sana za Watanzania.

swissme
Ha ha ha ha tupo pamoja mkuu. Karibuni Dodoma tutakapochagua bila kubagua Mwenyekiti wetu wa CCM.

Mzee Tupatupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…