Dr Abdallah amtusi mtume S.A.W

Status
Not open for further replies.
Mbona unatuma.video,tuma.maelezo nisome
Wengine kusikia mpk.hearing aid na hapa haipo..

Naomba weka summary ya maneno
Summary.
Amesema anamtafuta rafiki yake anayeitwa zinginary. Anawaomba wadau wamsaidie ili aweze kuwasiliana naye.
Pia anasema chama chenu kitaendelea kutawala mpaka mwaka 2999.

Amemalizia kwa kusema anafurahia maisha bora ya mwendokasi na kasi ya utumbuaji wa uchumi wa viwanda.

Nakushauri weka namba yako ya simu ili iwe rahisi kwa rafiki yako kuwasiliana na wewe.
 
Sheria ichukue mkondo wake, haya sio ya kusingizia pombe. Yeye mwenyewe anajua kwamba ameshindwa kutimiza wajibu wake wa kujiheshimu hata kama alikuwa ameliwa. Na sidhani kama alilewa kiasi cha kutokujuwa yuko wapi na anasema nini.
 
Pombe haina haya. ...binafsi namhurumia na ameshajishusha na kutubu. ...MOLA amwongoze maishani na asirudie tena kitendo kama hiki. ....MARAFIKI WENGINE OVYO KABISA. ...
 
Huyu, atakuwa ndugu wa mwandishi wa kile kitabu, cha 'AYA ZA SHETANI'! Kwani, wanafanana kishetani shetani. Ni daktari wa nini huyu? Gongo?
 
Huyu anaonekana ana matatizo ya akili, sio mzima! Lakini sio wa kuachwa tu ni lazima ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria kwa sababu analeta taharuki kwenye umma.
 
Kinyume chake, najihisi kumhurumia zaidi kwa sababu siamini ikiwa ana akili timamu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…