Anyone who doesn't take truth seriously in small matters cannot be trusted in large ones either. Hapa DPP anamaanisha kwamba yeye hana ushahidi wa kumpeleka huko mnakotaka. Magamba ni magumu kuliko ya kobe wa nchi kavu!.can somebody fire this mxxxxyyyyffjckjer!!! what the @##$$K!!!
DPP asitufanye mafala Watz! Aende katika benki ya Dr Kimei (CRDB) na akahoji wahusika na kuomba kumbukumbu kuhusu nani au akina nani waliyokwenda kuchukua hela hiyo kutoka akaunti sita zilizofunguliwa ktk matawi ya benki hiyo na Kagoda. Akaunti hizo zilikuwa zimepokea hela kutoka BoT.
Hakika CRDB wanazo kumbukumbu ni akina nani walizichukuwa hela hizo kutoka CRDB! Narudia DPP na Hosea pia wasitufanye siye mafala kwani mwanachi wa kawaida hawezi akafanya hiyo kazi ya kukusanya ushahidi huo kutoka CRDB, ni wao (DPP/Hosea) ndiyo chini ya sheria wana uwezo wa kufanya hivyo!
Jamani, tunazungushwa hadi lini?
MMK naona machungu yanazidi japo hujanifikia, si bora angekaa kimya!!!!???? ....wenzetu ndio wanasema "common sense is not common"!!!! Fikiria, mbali na mshahara kutokana na nguvu zetu atalipwa na pension! Nimemuona Dr. A. Lwaitama jana kwenye TV show akisema "amkeni na kukataa mateso haya"can somebody fire this mxxxxyyyyffjckjer!!! what the @##$$K!!!
can somebody fire this mxxxxyyyyffjckjer!!! what the @##$$K!!!
Yaani nimekasirikaaaa hadi unajiuliza hawa watu hata kufanya maigizo ya kwenye movie hawawezi? Anataka tumpatie vipengele vya sheria vinavyompa yeye madaraka ya kufanya kazi ya Mwerndesha Mashtaka Mkuu wa Taifa hili? gademu!! Halafu utasikia keshokutwa "Rais amwagia sifa DPP"!!!