Ahmed Msangi, Suleiman Kova, Said Mwema, Jakaya Kikwete na Issa Ponda wote waislamu. It is not logical kwa mimi nichangie kitu hapa. Wooote nawatakia kila la heri...
Umenena mkuu, ila kuwa na record na kujua pekee ndio unafikiri ndio suluhisho?? Sifikiri hivyo.... Wezi wa EPA, Richmond, Wafanyabiashara ya madawa ya kulevywa, wenye pesa zisizo halali nje ya nchi, Money Launders wote wanajulikana. Wengineo na makosa yao hatuwajui mimi na wewe ila kwenye database ya makaratasi ya TISS wanajulikana. Tatizo ni kuchukua hatua kama serikali. Ila tunaangalia maslahi ya "Waheshimiwa" na si maslahi ya wenye kujiheshimu (Wananchi)
Hivi badala ya kufanya maandamano ambayo hatima yake inaweza kuwa ni pamoja na umwagikaji wa damu, kwanini sisi Waislam tusimlilie Allah apambane kwa niaba yetu? Au hatumwamini kama anaweza!