Dpp apinga kauli ya takukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dpp apinga kauli ya takukuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Dec 12, 2009.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa Bw. Hosea anajiosha kwa wananchi kuwa mafaili 60 ya kesi za vigogo yamekaliwa na DPP - Bw. Feleshi, DPP Feleshi amepinga kauli hiyo na kusema hakuna mafaili aliyokalia na yale yliyofika ofisini kwake, kuna ambayo yalirudishwa kwani yalikuwa hayajakamilika.

  SWALI:
  1: Nani kati ya hawa wawili ni msema kweli?

  2: Hivi hakuna utaratibu wa kutoa taharifa kati ya TAKUKURU na DPP maana japo wanafanya kazi ambazo zinahuusiano, bado wanatofautiana wao kwa wao.

  3:Kupingana kwa vyombo hivi muhimu vya kutetea haki za raia kunaleta picha gani kati vyombo vyenyewe na kati ya vyombo hivyo na wananchi?

  4: Je kama kuna atakayeonekana ameudanganyaumma, sheria inasemaje?
   
 2. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchunguzi ukikamilika ndio kesi inapelekwa mahakamani
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hao ndio watendaji wa serikali, tutafika kweli?????????????
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nafikiri wao kwa wao wameitilafiana au wanona mambo yanawaendea vibaya ndiyo maana kila mmoja anajitahidi kujisafisha na kuelekeza makosa kwa mwingine.
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0

  - Sasa ungetegemea our media iwe on top of this ishu tena in a very aggressive manner kwa sababu behind this ndio utapata ukweli ulipo na mafisadi, lakini wapi wao ni kusubiri Chadema, Zitto na Kafullila tu, wakibadili sana inakuwa Makamba! taifa linakwenda chini!

  Respect.

  FMEs!
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jamaa hajakanusha kuwapo kwa hayo majalado 60 ya kesi za ufisadi alichosema ni kuwa wao hupokea majalada ya kesi nyingi na si kutoka TAKUKURU pekee bali polisi pia, na amedai kuwa hawawezi kupeleka kesi mahakamani kama hazijakamilika, HAJAKATAA KABISA vyombo vya habari vinapindisha hii story.
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hosea alikuwa anajaribu kujisafisha aonekane anafanya kazi yake.......................................huyu anataka kutufanya watz wajinga......atuambie jarada la richmond alilipeleka lini?
  hawa viongozi wababaishaji sijui tuwafanye nini................
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  tutafika ila tutakuwa tumechelewa sana na tumechoka sana....
   
 9. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Hakuna mkweli kati yao issue hapo ni dog eat dog. Ila offisi ya dipp ndio kikwazo kikubwa zaidi cha vita ya mafisadi kwani offisi hii ndio iliyopigana kiume kupoteza faili la kagoda.
  Hosea yeye kakalia kuti kavu na hivyo imemlazimu kuvunja protocol baada ya kuona yeye ndie anaeandamwa zaidi ilhali wahalifu wake wamekwamishwa ktk offisi ya dpp. Tunakumbukumbu toka hosea akiwa na kesi kumi za vigogo na sasa anadai zimefikia 60 na sisi bila hata yeye kujieleza tunafahamu zinapokwamishwa
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kila sehemu sisi ni usanii tu! sipati jibu
   
 11. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  File la hosea kuhusu Richmond liko kwa nani?
   
 12. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tatizo kubwa kwa taasisi hizi ni kwamba hazina maamuzi ya mwisho, na zinafanya kazi kwa kufuata matakwa ya wakuu wao na si sheria kama wanavyo sema wao.

  Wao ni figure tu, na wanafuata yale wanayoelekezwa na waliowaweka. Waache tu walumbane kwani kulumbana kwao kutafichua siri nyingi zilizofichwa.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,504
  Trophy Points: 280
  Tungekuwa na kiongozi mtendaji na mfuatiliaji angewaita Ikulu hawa na kuwaweka kitako mkapa kieleweke, lakini huyu tuliyekuwa naye tulishaambiwa hahusiki na yule mwandishi wake yuko pale kama sanamu. Kwa hiyo utata huu ambapo Hosea anatwambia amekamilisha uchunguzi wa tuhuma 60 za mafisadi na Feleshi anatwambia uchunguzi haujakamilika. Mkuu kama kawaida yake hatatia neno ili kujua nani anayesema ukweli katika swala hili.

  ~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~

  2009-12-12 10:23:00
  Graft cases delay: Feleshi hits back

  [​IMG]

  'I don't see why we should send an immatureThe DPP reminds PCCB director-general Hoseah of the consequences of rushing cases, especially serious ones like those on grand corruption

  By Mkinga Mkinga
  THE CITIZEN

  Director of Public Prosecution Eliezer Feleshi has reacted strongly against Prevention of Corruption Bureau (PCCB) director general's pronouncement that his office is sitting on files of convictable perpetrators of grand graft.

  Speaking in Dar es Salaam yesterday, Mr Feleshi queried the basis of PCCB boss Edward Hoseah's charges that his office is doing nothing on case files that the corruption watchdog has handed over to his office, ostensibly for further action.

  Dr Hoseah told reporters on Thursday that PCCB has so far handed over to the DPP files on 60 grand corruption suspects.

  "We have completed our investigations and have passed on the files to the DPP for further action," said Dr Hoseah.

  In his rejoinder yesterday, Mr Feleshi said his office handles a huge number of case files each day from various organs and no one has so far accused him of delay.

  "My office receives files from the Police, Immigration, PCCB and other investigating agencies and what we normally do is look at each case's legal perspectives and decide whether to take the matter to court or return it to the investigating agency concerned for further input," he said.

  Vividly disturbed by the PCCB boss's accusation, Mr Feleshi said: "Now I will need to have a dialogue with the PCCB director general so that we put things in perspective... instead of each of us being interviewed separately; let the two of us meet before journalists and tell them the real situation so that they can have the correct picture of what has been going on."

  He reminded Dr Hoseah of the consequences of rushing cases, especially serious ones like those on grand corruption.

  Reacting on the purported 60 files, Mr Feleshi said he was even not even aware there were 60 case files at his office sent by the PCCB.

  "I don't know if the said 60 files are indeed in my office; but, anyway, we receive many files daily and we work on them diligently, then advise the Government on whether to take a case to court if there is enough evidence," he said.

  He said it was not fair to blame his office for delaying cases without first acknowledging his responsibilities in handling sensitive issues.

  He stressed that it would be imprudent to handle PCCB files in a rush.

  "If someone wants us to do things that way, then the nation should prepare to pay a lot of money in damages and that would be a huge burden to our country as we will definitely lose many cases," he warned.

  "I don't see why we should send an immature case to court... it won�t make sense charging someone while you don�t have a watertight evidence to convict him," he said.

  But he hastily admitted that there is a 'tug-of-war'between his office and the PCCB, adding that his request is that the anti-graft agency should strive to work on the comments and suggestions he makes on the cases that he returns to them.

  Dr Hoseah had told journalists that PCCB should not be blamed for the delay to prosecute grand corruption suspects.

  In a way, albeit in an indirect way, he shifted the blame on lack of action against corruption to the DPP�s office which, he said, should tell the public what it is doing about some 60 files sent his office sent to them.

  Dr Hoseah said the files he has delivered to the DPP contain evidence that is ample enough to facilitate convictions. �My hands are tied since it is the DPP who has the final say as regards the decision to prosecute,� he said.

  Meanwhile, the Ministry of Constitutional Affairs and Justice spokesperson Mr Omega Ngole told this paper on Thursday that according the law, the DPP is given up to 60 days to scrutinise a file presented to his office and make a decision on it.

  He said: "I don't think there is any file in the DPP�s office that has overstayed."

  Dr Hoseah has put the public in suspense for months following his public announcement that his agency was working on at least ten major corruption scandal cases.

  The public has eagerly waited to see grand graft suspects dragged to
   
 14. H

  Hute JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  nafikiri wa kumsikiliza hapa ni bwana feleshi, hata kama hii issue imeshapita muda mrefu sana.
   
 15. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Umesahau taarifa ya TAKUKURU ilisema kuwa Richmond haikuwa na shida yoyote na Rais hakumchukulia hatua hata baada ya yeye kujua kuwa ilikuwa hewa kupitia taarifa ya Mwakyembe. Badala yake akaisifu TAKUKURU kwa kazi nzuri katika hotuba yake inayojadiliwa siku 5
   
Loading...