DPP anamtumikia nani?

DPP anamtumikia nani?

Mpangawangu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
887
Reaction score
965
Mwendesha mashtaka wa Tanzania ,ndugu Elieza Feleshi amekuwa mtu ambae ni mzigo kwa taifa na mtu anaechochea chuki kwa kufanya kazi katika misingi ya kibaguzi.

Awali yeye ndie aliweka zuio la dhamana ya shekh Ponda licha ya kwamba alifahamu fika kuwa alikuwa anavunja sheria.

Kwa mujibu wa sheria za Tanzania,ni makosa ya Uhaini,na Mauaji ambayo yanakataliwa dhamana ya kisheria,lkn bila aibu wala kuona kuwa anafanya kinyume na sheria za nchi,

Je ni sheria gani ambayo inamfanya DPP amshikilie Shekh Ponda?

Je FELESHI anasukumwa na imani yake ya dini kumkomoa Shekh ponda au kuna watu anawatumikia?

Hii inamadhara gani kwa uhusiano kati ya serikali na waislaam?

Je hii amani na uzalendo ambayo leo tumeshuhudia wasanii wa bongo wakitangaza itafanikiwa hasa kwa taifa ambalo linawatu wanaojiona wamegaliwa?

Msimamo wa BAKWATA wa kutetea uovu wa ccm kama vile kauli za Kibaguzi za LUKUVI ni bora kuliko Ponda mbele ya macho ya waislaam?
 
Na ujambazi wa kutumia silaha nao hauna dhamana,kubaka underage nalo hakuna dhamana


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
sehemu zenye waislam wengi ndiko ccm inakoshinda kitsunami!think and come again.
 
DPP anaweza kuiomba mahakama izue dhamana kama kuna sababu za usalama kwa mtuhumiwa mwenyewe au mtuhumiwa kusababisha usalama wa watu wengine kuwa mashakani. jaribu kusoma sheria ya uendeshaji mashauri, sheria zinazompa mamlaka mkurugenzi wa mashtaka na zingine kama hizo. tupunguze jazba na kuongozwa na hisia
 
Back
Top Bottom